Kumbe tupo wengi JF kwa lengo hilo eeeh! Sasa watatutosha kweli? Ila mi natafuta mwanamke wa kuoa si kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi pekee.
Tatizo lenu mnatafuta wanawake na siyo ma binti! Kwahiyo kupata mwanamke wa kuoa si rahisi maana lazima awe ameachika au kufiwa na mume wake! Mabinti wapo wengi tu
mimi nataka ila moja kwa moja ndoa kujua mbivu na mbichi humohumo
Staki kuzubaa miye.
Nami natafuta. Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa marafiki kwanza halafu
polepole kuhamia kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Papara staki. Nataka kwenda tartiibu.
If interested PM me. Serious inquiries only. Asanteni.
Seriously? si unajua tena kwenye mapenzi hakuna comandoo?Ntafute....
mambo?Hee!!!!!??
Mnhhhhhhh
Mkuu ulifanikiwa?Nini cha ajabu?
vigezo na mashart?
Mkuu ulifanikiwa?
Nah..it was not that serious. I think I was just bored on that day so I decided to just fool around. Plus, my legendary ID was banned at the time.
When they finally figured out who it was they merged that ID with my legendary one.
You know, usually I never even try to hide if I crop up with a new ID. I stay the same 'ol G. And it's by design, not accident.