Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,844
- 141,212
wewe ndio una hatari zaidi shosti, ukienda ndani ukakutana na guberi a.k.a fataki?mimi nataka ila moja kwa moja ndoa kujua mbivu na mbichi humohumo
wewe ndio una hatari zaidi shosti, ukienda ndani ukakutana na guberi a.k.a fataki?
Staki kuzubaa miye. Nami natafuta. Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa marafiki kwanza halafu polepole kuhamia kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Papara staki. Nataka kwenda tartiibu.
If interested PM me. Serious inquiries only. Asanteni.
😛ray2:
Nawatahadharisha tu mdadaMokoyo wewe umeanza lol
usiwaonee wageni sana mmmhhh.
vipi mambo lakini ???
maandalizi ya x-mass yanaendaje??
Nawatahadharisha tu mdada
Aisee kuna pongezi zako nimeziweka kule kwenye topic moja ebu tembea hapo, unajua nilikuwa sijatambua spiidi yako ni kali kiasi hiki
Maandalizi ya sikukuuu yankwenda vizuri sana, sijui wewe mrembo wetu
Staki kuzubaa miye. Nami natafuta. Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa marafiki kwanza halafu polepole kuhamia kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Papara staki. Nataka kwenda tartiibu.
If interested PM me. Serious inquiries only. Asanteni.
Nawatahadharisha tu mdada
Aisee kuna pongezi zako nimeziweka kule kwenye topic moja ebu tembea hapo, unajua nilikuwa sijatambua spiidi yako ni kali kiasi hiki
Maandalizi ya sikukuuu yankwenda vizuri sana, sijui wewe mrembo wetu
Kumbe tupo wengi JF kwa lengo hilo eeeh! Sasa watatutosha kweli? Ila mi natafuta mwanamke wa kuoa si kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi pekee.
anzisha thread yako na wewe. Umwage na details zako.
Preta hapo unasali au?
Staki kuzubaa miye. Nami natafuta. Natafuta mwanamke ambaye tutakuwa marafiki kwanza halafu polepole kuhamia kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Papara staki. Nataka kwenda tartiibu.
If interested PM me. Serious inquiries only. Asanteni.
utapata tu usijali ningekupa nilham lakini umechelewa
Mi naona tumwombe invisible aanzishe public forum nyingine ya watu wanaotafuta...
kwani wakiweka hizi hapa kwenye MMU watu wengi hawachukulii seriously.....
(Just a Suggestion )
AD