Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,369
- 68,460
Ilikuwa thread nzuri sana ila Bahati mbaya sana ilikosa wachangiaji.
COVID-19 INATISHA NIPO HOMEWengi mnamkumbuka aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Salmin Amour kwa utawala wake wa mkono wa chuma, kiasi cha kupachikwa jina la 'Komandoo'
Wapinzani wake walikiona cha mtema kuni, hadi baadhi yao waliwekwa kizuizini kwa kosa la Uhaini.
Sasa naiona Nchi yangu ikiwa imepata Salmin Amour "mpya" kwani kitabia Rais mteule naona anarandana kabisa na Kamandoo wa Zanzibar ile.
Hakika tutakuja kumkumbuka sana JK kwani tulikuwa na uhuru uliopitiliza mpaka tukajisahau, magazeti yaliandika yalivyotaka, tulimsema na kumkosoa tulivyojisikia. Lakini kwa awamu hii ya tano, chonde chonde jamani, kila abiria achunge mzigo wake.
"Watanzania muniombee". Hilo ndio jibu la dua zetu.Uzi ulikosa wachangiaji sababu time huu uzi unaandikwa Jamaa alikuwa kabeba matumaini makubwa sana ya watanzania,mimi hadi kufikia 2016 mwezi wa tano bado nilikuwa namuona jembe kwelikweli tena hotuba alikuwa akitoa watu wanajazana kwenye tv kusikiliza nini kasema akimaliza ni shangwe tu alikuwa akiongea na msisitizo tukamuona mzalendo
Ila......Ila..........tumejionea wenyewe...MIAKA 5 MIBOVU KABISA,SUCH A WASTE utadhani tupo kwenye kambi ya mateso,KWANI LAZIMA YEYE NDO AWE RAIS?BORING
Ungejua anayopitia huyo salmin amour Sasahivi, karma is a bitch jamaa anaishi kwa mateso Sana Sasa na hafi ili aendelee kuteseka
October haifiki tu?!