NAMDAI Nassary eneo kubwa la shamba

MODS please msaidieni mwenzetu kuweka heading hiyo hapo juu sawa ili ipate kuchota utamu w hoja nzito aliomletea mhe mbunge wake mtarajiwa Joshua Nassary.

Kwa maoni yangu pengine heading isomeke hivi; MHE NASSARY UBUNGE TUNAKUPA HIVI KARIBUNI KWA MKOPO WA KUTULIPA MASHAMBA SING'ISI.
 
Title hiyohiyo freeeeeeeeeeshhhhhhhhh

u fresh wa title hii upo wapi?? wewe unaona muunganiko wa kichwa na mwili wa hii title?? hapa Jf ni mahali pa great thinkers sio sehemu ya ushabiki kupiga porojo au kudanganya, niliona post yako moja ukitudanganya kuwa tangu kuanza kwa vyama vingi ccm haiajawahi kushindwa uchaguzi mdogo huku ukijua walishindwa temeke na tarime pia!!
 
niliogopa nikajua Yusuph Makamba mzee wa kuzushia watu kaingia kazini rasmi, kumbe ni deni la kimkataba kati ya Mbunge na wananchi wake, edit taito pls
 
Rais ndio mwenye mamlaka na ardhi yoye ya Tanzania ndio maana tunahitaji katiba mpya ili iweze kujibu hilo suala
 
Kero yako ni nzuri na inazungumzika,nakushauri uipost kwenye thread ya kero ambazo mwananchi unataka ziwakirishwe na makamanda wa chadema bungeni.
 
Hakuna kubadili heading!! Watu eti ma-GT wanasoma habari kama wanasoma hadithi za paukwa pakawa!!
Ambae hajaelewa arudie mara 20 ataelewa!!
 
ngera kama utawashawisha wote huko kumpigian kijana nasary ili akifika bungeni awasilishe hoja ya kulikomboa eneo lenu:lol:
 
Usihofu kijana yuko njema atawapa..ni mtu aliyetumwa kuokoa kizazi hiki hasa cha Arumeru.

 
Back
Top Bottom