NAMDAI Nassary eneo kubwa la shamba

Mtoa mada nimeipenda sana heading yako. Inahitaji wale watu wenye akili za kuwasha chemli mchana na kupita nayo sokoni, kuweza kuielewa. Simple mind wataiona haiendani na habari yenyewe, wakidhani ni kesi za kudhulumiana ardhi. Great minds watasoma mstari kwa mstari na kuja na wazo kuu. Wana JF hivi ardhi ya Tanzania ni mali ya nani? Wanawakilishwa na nani? Inapotokea ardhi kubwa inahodhiwa na wachache na kuwa misused ni nani atakuwa kimbilio la wengi hawa? Na ni kwa namna gani watapatiwa ufumbuzi wa tatizo lao? THIS IS ALL ABOUT THIS HEADING. Big up Ritts.
 
Ndio sababu hii JF ikaitwa great thinkers, ili uwe great thinkers hutakiwi kukurupuka ku comment thread yoyote soma kwanza uielewe ndio u comment! mkuu hii title imekaa vizuri mimi huwa naita title kama hizi kuwa ni "catchy" yaani inamvuta msomaji, unastahili kuwa katika editorial board ya gazeti unajua kuweka title za kufutia!
 
Big up Ritts, then MP Jo hapo pembeni na shamba tunalosema ukumbuke mpaka unapaswa uwe mwisho shamba la LIT chuo cha mifugo tengeru, sasa pale magamba wamechakachua mpaka wamekata ekari 100 pembezoni na mto, na wamewapa Agha Khan wafungue chuo hadi hapo upo? Hawa jamaa wanatu....napata hasira
 
Umejiunga na JF tar 28/feb/2012 ili kutufahamisha mambo yenu binafsi na Nassary?.
Hata hiyo haimzuii Nassary kuwa Mbunge wa Arumeu.

Paka weeeee badae Utapakua tu.

Watu wa aina yako hawastahili kuwa ndani ya jamiiforums,wewe huna tofauti na mhuni.kabla hujatukana ni vema ungesoma alichoandika kwenye topic yake.lakini pia hatumo humu jamiiforums kwa malengo ya kulazimishana kuamini kitu kimoja kwa wakati mmoja.

JF ni jukwaa huru kwa members wote na tunao uhuru wa kujadili hoja mbalimbali bila kuvunja sheria ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.hivyo kama wewe bado ni mwanafunzi nakushauri uendelee na masomo kwa bidii na huku ukijifunza ustaarabu

Hongera sana mtoa thread kwa ubunifu wa Heading......keep up!.
 
Basi walau ID yako ukajiite Washili Orijino kuonyesha msimamo tofauti kabisa na wale Washili-Tendwa wanaosadikiwa kuishi tu kule Masaki jiji Dar bila ufahamu wowote juu ya matatizo kama hayo ya mashamba ulioyataja kwa ufasaha zaidi humu.

Sitobadili title kamwe,leo nimeelewa magreat thnker mnasomaga heading 2
 
heading mbona haiendani na content..........badili maana hueleweki
 
Post hiii sijaielewa vizuri maana heading na kilichoandikwa ndani ni tofauti kabisa ,tafadhari edit kwanza
 
Ni kweli huyu kijana anatakiwa akapambane pale bungeni nasio kusinzia. Bila shaka kijana ataweza akipewa.
 
mwanzisha thread ni real great thinker, umeaibisha wengi sana humu leo!!

nice test

mliosema title ibadilishwe na ambao hamjaelewa you got F

F big time mkuu....kuna watu humu ni sawa na matanuru ya mkaa wa minazi!
 
Duh! Bila kuandika kimagamba umeona thread haitapata promo

Na ni kweli WAHEED SUDAY yani kama siyo mshikaji kawaingia kimagamba hakika hii thread ingechafuliwa mbaya kbs!

Maana humu tuna watumwa wa magamba humu hawanaga haya hata punje!
 
Back
Top Bottom