Namchukia sijui imekuwaje..

Namchukia sijui imekuwaje..

Status
Not open for further replies.

princesitor

Member
Joined
Oct 7, 2012
Posts
31
Reaction score
1
nliwahi weka kuhusu uhusiano wangu na mkaka wa kiislam ,kiukweli nlikuwa nampenda sana bila kujali mambo yote aliyowahi kunifanyia kwani tuliamua kuanza upya na kusahau yote ila inafika mwezi sasa nimejikuta namchukia tu sina tena feelings nae sielewi nini kimetokea,na yeye ameligundua ilo kwan kila siku analalamika nimebadilika,kiukweli sina mtu yeyote kusema kwamba ananitia kiburi ila imetokea tu,nifanyaje na nnaishi nae ..kumwambia tuachane naogopa.
 
mwambie muachane yaishe
mbona untaka kuleta udini pasipo?

kama mapenzi yameisha ni kawaida tu
mueleze yaishe
usiingize suala la dini hapa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom