Namchukia sana mume wangu!


Pole bidada kwa mtihani huu, jipe muda utafakari kwa mapana na marefu kuhusu hili, wala usikurupuke kufanya maamuzi, Pole sana mwanakwetu
 
Mhhhhhhhhh! Alichokiunganisha Mungu Binadamu na Asikitenganishe!!!!!!! Nitarudi, ngoja nijicosult kwanza kwenda kinyume na bible!!!!!!

Sister Ciello ushauri wako unahitajika huku!
Hire a hit men.african men are deadbeat .
 
Last edited by a moderator:
Umenichekesha sana hapo kwenye bold....

Makungwi ndio watakwambia ooh mpelekee maji ya kuoga...mpikie; atotoka nje...usipofanya hivyo basi akitoka nje akakuta hizo huduma harudi....

Mi ndo kwanza maji ya kunywa namuomba yeye. Lol. honey nimechoka maji please. Hizo formular za kujipendekeza wala haziwork dear.


 
My dear when love dies life continues. Cha mana ni kusamehe na kuendelea na Maisha yako na wanao asikuharbie kabisa Siku, jitahidi upendeze ajute. Ila endelea kukaa kwako
 
Women!! so wonderful, wewe unakuwa wa mwisho kumwona mnapoenda kulala na wa kwanza kumwona mnapoamka, je hao ambao amezaa nao tu wanakula kwa wizi unafikiri wanajiskiaje?
"..Mwanamke mpumbavu uvunja nyumba yake mwenyewe"!


 
Hizi stigma ndio zinafanya watu wafe kisabuni na tai shingoni. sasa nikiondoka si ntaitwa 'mpumbavu'

Women!! so wonderful, wewe unakuwa wa mwisho kumwona mnapoenda kulala na wa kwanza kumwona mnapoamka, je hao ambao amezaa nao tu wanakula kwa wizi unafikiri wanajiskiaje?
"..Mwanamke mpumbavu uvunja nyumba yake mwenyewe"!

 
Hahahaaaa, danganya sana, kwanza ameshatumika (used) anapendeza anakutana na jamaa pia used na watoto kibao,
sipati picha..ni sawa na kuruka...na kukanyaga...! hahahaaaa!

My dear when love dies life continues. Cha mana ni kusamehe na kuendelea na Maisha yako na wanao asikuharbie kabisa Siku, jitahidi upendeze ajute.
 
pagumu hapa
jipe moyo sali sana Mungu atakuongoza katika mapito yako
 
hizo ndio ndoa bwana...asikudanganye mtu...mwanaume kamili lazima atakuwa na kimada au vimada pembeni. ila sasa huyu nae kazidisha yaani anagegeda mpaka anakojolea mtungini na kutia mtu mimba!!! loh!!
dah huyo ana wakati mgumu na hivi amehama chumba jamaa sii ndio anawagegeda vizuri.....hapa tusubirie tuu karibuni atakuja lalamika jamaa kalja kumgegeda kimada chumbani kwao hahahahaha
 
mie sijui ila akienda ustawi wa jamii atasaidiwa nadhani kuhusu swala la kugharamia watoto,mali walizochuma pamoja etc....

na mme akisema bado nampenda mke wangu ndoa haivunjiki hata mahakamani. Toeni ushauri wa kumuwezesha kulea watoto katika mazingira mazuri wasijione kwamba hawana baba/mama. Kwa kila kinachofanyika watoto hapa ndo waathirika. Ndo maana kitchen part siku hizi hovyo tu!
 
Toka muda napita na kurudi. Ngoja nipite tena nisije nikakushauri utafute small house na wewe buree!
 
hahahahahah hii ngoma nzito....watu wanachungulia tu huku wakiguna...lol kweli ndoa ni msalaba yahitaji kuifanyia rehersal..
Toka muda napita na kurudi. Ngoja nipite tena nisije nikakushauri utafute small house na wewe buree!
 
Last edited by a moderator:
Kwani kuzaa na mwanamke mwingine ni "ukoma"? Mwache atunzie watoto wake hukohuko nawe endelea na mumeo kama kawaida kwani kinapungua nini? Na ukisusa unamkomoa nani? Ataendelea kuburudika nje nawe utajitesa tu maana kutongoza mwanaume wa kutake cover sio jambo jepesi wala la kujivunia.
 
Muke ya Muzungu!!!! wants us to believe that the only men full of drama on this planet are African men....What about Wazungu like Schwarzenegger, John Edwards, Henry Hyde, John Ensign, Mark Sanford etc!?

African men full of drama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…