Namchukia sana mke wangu

Namchukia sana mke wangu

Hakuna shida kubwa duniani kama mwanamke asiekwenda shule 90% ya character iliosimuliwa ni wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi mara nyingi wao kitu wanachoweza ni ngono tu hivyo kuhisi kila saa wanasalitiwa..mtu kama huyo hata ukiwa na wafanyakazi wenzako wa jinsia ya kike hashindwi kuanzisha timbwili ofisini kwako ukaonekana hauna maana kabisa
 
Back
Top Bottom