Namchukia sana mke wangu

Namchukia sana mke wangu

Ilianza wakati gani hasa?

Kwa ulipoanzia stori yako ni rahisi kusema ni udhaifu wa mwanaume kushindwa kummanage mkewe.
Pia kwa ilipoanzia ni rahisi kusema mwanamke ana mdomo, kwamba jamaa kaingia tu ndani kakutana na ndoo ya maswali, hatujui huko nyuma nani chanzo cha hayo yote. Inawezekana jamaa ni kiwembe kweli au mwanamke alishawahi kumfumania kipindi cha nyuma sasa hamuamini tena ndo maana anakuwa na wasiwasi. Kwa hii story ilipoanzia nadiriki kusema mwanaume ndo mjinga.
 
Kwa ME: Communication gap, kutojali hisia za mwenzake & kutochukua tahadhari mapema.
Kwa KE: Kushindwa ku control mihemko yake
Hyo communication gap ni tatizo kwa wanaume wengi tu, unakuta siku nzima anakukaushia bila sababu, mnaweza mkawa mmeachana vzr tu asbh lkn ukimtext hajibu, ukimpigia hapokei au anakata cm, sawa uko busy lkn kuna wakati unakuwa free japo dk kadhaa kwa nini usimtafute mwenzio kujua alikuwa na shida gani? Unapuuza kumbe nyumba inaungua au kapatwa tatizo kubwa. Jirekebisheni hapo
 
Kuna wanawake wana gubu...unaweza kujibu msg na kupokea simu lkn bado atakuletea vimaneno vya maudhi. Tabia ya mtu inaonekana mapema tu,nikishaona mwanamke ana maneno fulani ni ajabu huwa najiepusha nae kbs
 
Jamani..kuna wanaume wana tabia kama za huyo mke. Kosa kidogo tu tena lingine la kufikirika sio la kweli lakini ataongea usiku mzima na kununa mwezi mzima! Ndoa hizi..Mungu atusaidie!


hahahahaha aisee !tnaita GUBU
 
Pole yake sana...

Binadamu wengine ni shida sana...

Wapo negative kwa kila jambo alifanyalo mwenzake...

cc: mahondaw
 
Matatizo hayakimbiwi bali hutafutiwa suluhisho. Arudi nyumbani atafute suluhisho la ndoa yake
 
Ndoa ndoano aseh sijaona Ila nimewahi pita kwenye mahusiano kama ayo kwa kweli yanakera sana Mungu atuepushe mbali Na hii dhahama
 
Usiache kuoa ndoa ni stara kubwa,sema hiyo ni mitihani tu unaweza ukawa na mke rahimu kabisa watoto wakawa mtihani au ndugu na majirani ndo wakakupasua kichwa.
Asante Kwa ushauri shukrani Sana ntaangalia coz nilipanga kupata mtoto tuu ila kuishi na mwanamke siwezi aiseee
 
Usihofu M/Mungu ni wetu sote.
Ni kwel unaweza ukampata ukasema huyo kweli nimepewa na Mungu akasifiwa na ndugu na marafiki lakini hapo ndani sasa unataman upakimbie umwache Kwa jinsi alivobadilika Kama huyu
 
Ni kweli kuna wanawake wanaongea hadi unakosa hamu ya kurudi nyumbani , unavumilia lakini unashindwa , kitu kidogo atakifanya kiwe kikubwa sana....pia wanawake waelewe kujitofautisha na wanaume , wanaume wengi sio wazungumzaji kama wanawake ....embu tambueni hiyo tofauti kwanza
 
Ni kwel unaweza ukampata ukasema huyo kweli nimepewa na Mungu akasifiwa na ndugu na marafiki lakini hapo ndani sasa unataman upakimbie umwache Kwa jinsi alivobadilika Kama huyu
Hapa ndipo tunapousiwa subira na maamuzi sahihi.
 
Back
Top Bottom