Namchukia sana Mama yangu

Namchukia sana Mama yangu

Mtu porii

Member
Joined
Jan 29, 2024
Posts
44
Reaction score
167
WanaJF

Mimi namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa.

To sum up..
Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa. Hivyo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibidi nikaishi na mama kulingana na umri wangu.

Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji kubaki na mtu mmoja kama mama anaondoka mim nibaki na kama mimi naondoka mama abaki.

Maamuzi ya mwsho yaliamuliwa niondoke nikaenda kuishi na bibi huku mzee akiwa karibu na sisi tangu darasa la kwanza hadi tunamliza chuo.

Huwa naona mtandaoni watu wakiwasifia mama zao jins wanavowapenda ila kwangu imekuwa tofauti.

Nampenda sana bibi yaani sana hata nikiwa na kidogo bora apate bibi ila sio mama..Mama namuona kama. Sina maelezo mazuri ya kuelezea ila namchukia.

Nataman nimpende kama mzazi nifanyaje
 
wana jf mm namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa..

To sum up..
Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa..ivo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibd nkaish na mama kulingana na umri wangu..

Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji kubaki na mtu mmoja kama mama anaondoka mim nibaki na kama mimi naondoka mama abaki..

maamuz ya mwsho yaliamuliwa niondoke nkaenda kuish na bibi huku mzee akiwa karbu na sisi tangu darasa la kwanza had tunamlza chuo.
Huwa naona mtandaoni watu wakiwasifia mama zao jins wanavowapenda ila kwangu imekuwa tofauti..Nampenda sana bibi yan sana hata nikiwa na kidogo bora apate bibi ila sio mama..Mama namuona kama ......sina maelezo mazuri ya kuelezea ila namchukia..

nataman nimpende kama mzazi nifanyaje
Hakuna bond kati yenu, ndio maana unafeel hivyo.

Kwa choices alizopewa, ilikuwa ni wazi wewe ndio wakuondoka. Unaweza kumlaumu ila jaribu kumuelewa. Usikae na kinyongo, jaribu kuflash ili maisha yaendelee.
 
WanaJF

Mimi namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa.

To sum up..
Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa. Hivyo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibidi nikaishi na mama kulingana na umri wangu.

Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji kubaki na mtu mmoja kama mama anaondoka mim nibaki na kama mimi naondoka mama abaki.

Maamuzi ya mwsho yaliamuliwa niondoke nikaenda kuishi na bibi huku mzee akiwa karibu na sisi tangu darasa la kwanza hadi tunamliza chuo.

Huwa naona mtandaoni watu wakiwasifia mama zao jins wanavowapenda ila kwangu imekuwa tofauti.

Nampenda sana bibi yaani sana hata nikiwa na kidogo bora apate bibi ila sio mama..Mama namuona kama. Sina maelezo mazuri ya kuelezea ila namchukia.

Nataman nimpende kama mzazi nifanyaje
Baba yako mzazi alikuwa wapi wakati huo?

Madhara Makubwa ya kuzaa na kutelekeza watoto huacha maumivu makali sana kwa jamii
 
Kumchukia MTU ni tatizo kubwa Sana na linaweza kukutesa hasa pale utakapojua maisha ni UPENDO na vitu havina nguvu kumzidi MTU

Hasara za chuki
Utachelewa kuwa yule unayetaka kuwa
Utakuwa unafanya mambo kwa msukumo na sio kwa hiari yako.

Ikiwa Alifanya makosa usimchukie msamehe na umpende na kumjali ili utume ujumbe katika universe kuwa Love always win .

Mandela alisema hivi

"Kumchukia MTU ni kuamua kunywa sumu huku ukiamini itamuua unayemchukia"
 
Mama alikuwa hana chaguzi hapo lazima we ulikuwa unaweza pata malezi kwa bibi ila mama asingeweza pata mrunda kwako ki lazima ilikuwa wewe uondoke.
Na kama ni matunzo kumbuka asingeweza kukupa matunzo mana jukumu lilikuwa lipo juu ya baba yako mzazi .
Swala la kumtumia bibi chochote kitu ni haki yake na mama yako haimdhuru kwa chochote..
Hivyo mpende tu kama mzazi kila binadamu ana mapungufu yake haijalishi ni mama au mtoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom