Namchukia mzee wangu!

Pumbavu sana hilo ndio jibu langu kwako. Kajenge yakwako
 
Hujielewi na tayari akili yako imeshaegemea kwa mama,huu ni ujinga wa PHD ipo siku utamkumbuka mzee wako,we endelea kufuga akili za akina mama tena mtt wa kiume ni aibu saaaana kuandika huu uharo hapaunna
Mjinga mama ako aliyekuzaa hyo ni experince
Narudia **** la mama ako acha shobo
 
Thread nzima sijaona popote mzee wako alipokukosea.

Aina ya maisha na nyumba anayoishi ni yake binafsi na ndiyo hayo aina ya maisha aliyojichagulia.

Jiulize hadi leo kwa umri wako huo umemfanyia nini cha maana babako?

Nafsi yako inataka nyumba ya ndoto zako, basi pambana ujenge ya kwako uishi maisha unayoyataka.

Mzaliwa wa '88 kwa sasa ni kijana wa makamo ni mtu mzima tu wa kuweza kuwa na familia yake, iweje unalalamika kama mtu ambaye bado analelewa na wazaz?

Mzee kesha timiza wajibu wake wa kukuzaa na kukulea inatosha, mwache apumzike na umboreshee maisha yake pale unapoona pana mapungufu na si kumtwisha lawama zako zisizokuwa na msingi.

Laana ya mtu saazingine huja hivi hivi kutotana na kauli na fikra mbovu juu ya wazazi wake wasio na hatia.
 
Nasubiri kuona picha ya GHOROFA lake.....
 
Hajakua bado....atakua akifikisha miaka 60.....🤣
 
Wewe ni mjinga,ume andika sababu za kijinga naza kitoto. 1988 unakaa Age 33 saivi wewe sitegemei uje na mawazo ya kijinga jinga. tena usirudie
 
Hata kama bado namchukia tu! Nyumba mbovu halafu ... Sitaki niendelee, nisije tukana.
Achana na mambo ya mzee wako. Kama Nyumba jenga yako, boresha nyumbani kwenu! Umeoa? Unafamilia? Siku ukianza kulipa Ada, waweza gundua baba yako alikuwa sahihi. Nahisi hizi chuki umejengewa na Mama!
 
Ukikua utajua maisha na utamsamehe mzee wako, Mm nilikaa nyumba isiyo na uzio na kupaka rangi nje for 10yrs , hela ipo nabadilisha gari kama kawaida, nyumba za wapangaji ni nzuri kuliko zangu, ila kuifanyia finishing yangu nilikuwa naona kero sana.
So kuchagua ni kupanga, na ww utapanga ujenge nyumba nzuri, au gari zuri au watoto waende shile za ada kubwa.
Na ukishachagua hakuna wa kukulaumu ktk chaguo lako
 
Mimi nikafikir unajipanga kushusha mjengo wa maana hapo kwenu ili upaheshimishe kumbe unawaza utaletaje demu kwenye kibanda alichojenga baba yako.

Kama kweli baba yako alikupa mahitaji yote ya mhimu mpaka umemaliza chuo na bado unamlaumu hukustahili kutumia ata Mia mbovu yake Bora angenywea bia Leo angekua na Cha kusimulia niseme tu baba yako kwako alipigwa mchana kweupe.
 
Mtoa mada wewe ni kenge manyoya narudia Tena wewe ni gu jinga
Narudia Tena wewe ni......
Pumbafu
mwenzako Abraham Lincoln alitokea Kwenye small Hut house 🏠
Akapambana kidume mpaka akawa Rais wa america Ndio Moja ya Marais wa marekani waliotokea Kwenye umaskini kuliko hata huo wako ila still alijivunia kwao sababu Ndio palimpa mzuqa wa kupambana

Acha kumlaumu babako konyo we!
 
Jenga nyumba yako acha kutafuta sifa au kujisikia aibu kwenye nyumba isiyo kuhusu. Ukipata utajiri na ukaona inafaa utawajengea wazazi wako nyumba bora.
 
pole mkuu...jitahidi watoto wako wasipitie unayopitia
 
Unadhani babako angewanyima ada au kula vizuri na kulipa ada angeshindwa kujenga.? Kipato kidogo aliamua awafurahishe nyie bado hamna shukrani. Mungu atakupa familia na wewe utaona kazi aliyokua anapambana nayo babako.
 
Unadhani babako angewanyima ada au kula vizuri na kulipa ada angeshindwa kujenga.? Kipato kidogo aliamua awafurahishe nyie bado hamna shukrani. Mungu atakupa familia na wewe utaona kazi aliyokua anapambana nayo babako.
Mzee una umri gani?
 
Achana na mambo ya mzee wako. Kama Nyumba jenga yako, boresha nyumbani kwenu! Umeoa? Unafamilia? Siku ukianza kulipa Ada, waweza gundua baba yako alikuwa sahihi. Nahisi hizi chuki umejengewa na Mama!
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…