Namchukia mzee wangu!

Mkuu wewe Umejenga kwanza?? Na pia Nina wasiwas I Wewe hujazaliwa 1988, possibly umezaliwa 2005 na kuendelea. Ila Kama umezaliwa 1988 then baaado kabisa hujakua…umeongeza number tu na sio hekima na busara.
 
Halafu umri huu wa miaka 33 bado unaishi kwa mzee,very sad kwakweli
 
Usimchukie Baba yenu. Aliishi alivyoweza . Na kuwatimizia alichoweza.

Ukitaka ku mprove wrong
Fanya zaidi yake . Watendee wanao na wazazi wako kiasi cha tamaa yako.
 
Umekuwa sasa mjengee baba yako nyumba
 
Chukua simu mpigie mzee wako leo umshukuru kwa kulipa ada, kuwatoa out na kununua msosi na nguo,huyo mzee ni mfano wa kuigwa,kuna wazee hata ada hawalipi chakula ndani shida,umemuonea bure aisee
👍
 
Mzee akulee vyema....
Mzee akusomeshe...


Bado tu unamlaumu?!!!

Watoto wafundishwe na kufahamu kuwa ukiwa hapa duniani basi kila "hisani" unayofanyiwa si lazima.....anayekufanyia HISANI unatakiwa umshukuru mno...mno...mno.....

Hakuna binadamu awezaye kukubeba UTAKAVYO....kukubeba kulingana na MAHITAJI YA MAISHA YAKO...hayupo huyo.....

KUJITAMBUA ni KUJIBEBA MWENYEWE NA KUTAFUTA CHA JASHO LAKO(hata kama kidogo).....

Tushukuru Mungu Mwenyezi tulizaliwa na kuwaona wazazi wetu wawili...wakatulea vyema tu....mengine ni "manung'uniko tu" ya KUJIBWETEZA AKILI ,FIKRA NA MWILI.......

MUNGU AWABARIKI SANA NA KUWAPA AFYA NJEMA WAZAZI WETU WALIOWAJIBIKA VYEMA KWETU aaaamin aaaaaamin 🙏

#SiempreJMT
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
 
Mpaka sasa umeshajenga nyumba ngapi?,tuanzie hapa ili uone kama ilikua sahihi kumkasirikia mzee

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hyo ulitaka nyumba nzuri ili UTOMBEE MADEMU dah

Binafs naona mzee alitimiza majukumu yake vizur kabisa Kama ada chakula mavazi na hata malazi

Sasa n muda wa wewe kusema Asante baba kwakujenga nyumba ya ndoto yake mzee

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Napata mashaka kama kweli wewe ni graduate. Ujinga gani huu umeeleza hapa? Kwa hayo yote alokufanyieni huyo mzee wenu ulitakiwa kuwa unamwombea neema kwa Mungu.
 
-Mliishi kama wazungu full raha(?),
-mliishi nyumba mbovu isiyo na sakafu(uzungu ulikomea kwenye kula tu(?),
-baba yako alikuwa mwalimu ila aliacha kwa kulogwa na wenzie...😝😝😝😝,
-tena "alikuwa mlinzi wa kampuni" fulani (?).
Bado nina maswali "pomoni"!Niendelee au nisiendelee?
😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…