100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,747
- 30,547
HKama kweli we ni mhenga na kama unakumbuka movies walizoigiza.
Acha hizo Jo Kuna picha ya Rambo hapo?
tagawa ameact movie gani mkuu, inaonekana na yeye mtataMichael Dudikof,Cynthia Rothrock aka Mateke lady,Komando Kipensi,Chuck Norris,Billy Blanks,Bolo Young,Gary Daniel na Tagawa.
Showdown in a Little Tokyotagawa ameact movie gani mkuu, inaonekana na yeye mtata
Rambo yuko wapi hapo? Au umemkumbuka kichwaniNimemkumbuka rambo tu
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app