Hiyo ni ngumu coz vyet vitakufunga,,,,,tafuta kazi kulingana na ulichosomaKiufupi ni kwamba ninaitaji kuomba kazi ktk career isiyo yangu( nisiyosomea)sasa nimeambiwa nipeleke C.V ndo nimepata utata je niandae kulingana na career niliyosomea au laah?naombeni ushauri wenu,