DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,088
Kwa kweli kijana
Kwa kweli kijana
Ila whatsapp wameona wao ni app namba moja...WhatsApp walisema ni temporary ban. Hapo arudi official kisha aombe kufunguliwa hiyo namba.
Sent by SangaweJr
Halafu naomba uni tag mkuu!Nikielewa nitakomenti
Iko vizuri sana...features zake zimezizidi za Gb WhatsApp.
Ipo playstore?
Heee..hatariiHabari!
Kuna mtu aliwahi kutupa habari kuwa namva hizi zitafungiwa soon....!!
Lakini tukapuuzia wengi, nadhani wachache walijali hilo.
Sasa jana namba ya rafiki yangu aliyokua ame down load unofficial app ile "yowhatsapp" amefungiwa kutotumia whatsapp milele kwa namba ile.
"this number 06******* banned from using whatsapp"
Ila GB whatsapp bado inatumika...
Sent using Jamii Forums mobile app
Features kama zipi zilizoizid gb?Iko vizuri sana...features zake zimezizidi za Gb WhatsApp.
Sent using Samsung Galaxy
Mfano...kuna kuweka antidelete status....disable forward tag....to hide the muted status...hzo ni baadhi tu.Features kama zipi zilizoizid gb?
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Last time nimetoka gb walikua hawajaziweka labda kwa updates za sasa hv.
Hizo zote gbwhatsap zipoMfano...kuna kuweka antidelete status....disable forward tag....to hide the muted status...hzo ni baadhi tu.
Sent using Samsung Galaxy
Zipo mda sana tu mkuuLast time nimetoka gb walikua hawajaziweka labda kwa updates za sasa hv.
Sent using Samsung Galaxy
Dah...itakuwa mafisiem haoHabari!