Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Juzi walinilazimisha ku-update GB whatsapp, nikauupdate ikaja FM whtsapp. Mi naona iko poa tu.
 
Unapakua wap mbn cielew hapa

Direct link
 

Attachments

  • Screenshot_2019-09-03-18-32-37-982_com.android.browser.jpeg
    Screenshot_2019-09-03-18-32-37-982_com.android.browser.jpeg
    29.5 KB · Views: 44
Nilishituka nikajua tatizo ni kutumia GB WhatsApp ama aina tofauti na WhatsApp Og kumbe sio, tatizo ni wewe na Utumiaji wako ndio umesababisha Ufungiwe.
 
Mimi nilkuwa na gb na original whatsapp nikapigwa ban.Nikafuta zote.Nika install whatsapp x inafanana sana na original whatsapp nikaona haifai nikaifuta nikachukua yowhatsapp napeta nayo sasa zaidi ya mwezi ni nzuri Sana ila gb ni nzuri kuliko zote.
kitu nachukia yowhatsp ni kwamba aina dnd mode hicho tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom