Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

May be unatumia link sio. Ikihitaji update inakuambia, follow hiyo link itayokuletea
inaniletea hvyo follow link ngoja nijaribu tenaa.
nilitaka kujua pia bado Whatsapp gb ina run uki update?
 
Watumiaji wa WhhatsApp GB,FM sjui na unofficial WhatsApp zote msije mkasema hamku ambiwa ....mana mnaona raha wengine Mna hide viewing status vibility status hamuombi mna download tuu chap basi mnajiona wataalam

point ya msingi kufanya hvyo ni kinyume na policy za WhatsApp
...ni hivi kuzitumia hizo WhatsApp feki ni against privacy and police za WhatsApp,,,hizo WhatsApp feki zina mambo mengi sana ambayo kwenye WhatsApp ya kawaida hamna na hizo ndio privacy ,,,,,

kam kudownload status ,copy caption kwenye pics ,,freezing least seen ,auto reply yani kuna vikolo kolo viingi ambavyo WhatsApp official sio kwamba walishindwa kuviweka no . .ni police na ni sheri za chating platform yoyotee

Usidhani walikua hawajui kama izo WhatsApp feki zipo ,,wanajua Sana'a ila walikua wanawazoom

Sana naona wamekuja na plan kuzitokemeza watumiaji wa hizo WhatsApp feki wanakula ban tuu skuiz

wanaanza na masaa ukiwa mbishi wana haamia siku usipo badirika basi wana kupiga ban maisha yani namba yako haita weza kutumika WhatsApp teeena labda uibadiri ...

Niwape tuu angalizo sijui mna zipendea nni hizo WhatsApp feki ila zitawacost...
 
Mwanangu umepaniki kinoma. Hebu tuambie, una tatizo gani na sisi watumiaji
Watumiaji wa WhhatsApp GB,FM sjui na unofficial WhatsApp zote msije mkasema hamku ambiwa ....mana mnaona raha wengine Mna hide viewing status vibility status hamuombi mna download tuu chap basi mnajiona wataalam

point ya msingi kufanya hvyo ni kinyume na police za WhatsApp

Kuna siku nimepigwa ban ya dk 20..zikaisha nikapigwa ban tena, naamka asubuhi ban ikaendelea nikaona isiwe kesi.. Nikaitupilia mbali hiyo gbwhatsapp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom