Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Zipo mda sana tu mkuu

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Sawa mkuu itakuwa hivyo...Maana mm wakati natoka uko walikua hawajaziweka bado na mm hzo features ndo zilinivutia kuhamia hii FM.

Sent using Samsung Galaxy
 
Habari!

Kuna mtu aliwahi kutupa habari kuwa namva hizi zitafungiwa soon....!!

Lakini tukapuuzia wengi, nadhani wachache walijali hilo.
Sasa jana namba ya rafiki yangu aliyokua ame down load unofficial app ile "yowhatsapp" amefungiwa kutotumia whatsapp milele kwa namba ile.

"this number 06******* banned from using whatsapp"

Ila GB whatsapp bado inatumika...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeanfika namba ya jamaa wako sio namba zote kijana.
Yosef basha ndo kwanza anazid kutoa updates za yowhatsapp,sijatumia official whatsapp zaidi ya miaka 5 now,na ban nlipigwa mara moja miaka hioo km masaa 36,kosa ni,nlikua na activate namba yangu knwye moddedwhatsapp,badae nkairudsha kwny whatsapp original nlisahau kufanya backup,tna skua nmeidelete,nkala ban 36 hours,nkahama mazima hadi leo
 
Mimi nishaogopa tayari nimerudi official whatsapp
 
na update Whatsapp GB inakataa sijui tatizo nini inaniletea maelezo Meeeengi. nimeitumia takrabani 1yr
May be unatumia link sio. Ikihitaji update inakuambia, follow hiyo link itayokuletea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom