Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

Leo kimetokea kitu nikadhan ndo wamenipiga ban....narun two WhatsApp (hyo official & GB) kwa namba tofauti,sasa nikaingia play store kuupdate hyo WhatsApp official kurudi kila nikiingia kwenye GB inakataa inaniambia hyo namba siyo yangu maana haijasaliwa kwenye hili simu halafu inanipa option ya kuverify.....nikaona isiwe kesi nikaondoa official WhatsApp nimebaki na GB maana WhatsApp official haina ladha kabisa yani...
whatsapp official sio kabisa Mimi nishaisahau. ila niondolee hofu hii Whatsapp gb iki spared siwezi like stall tena na namba ile Ile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili toleo la 7.90 kila mtu inamgomea kuwa installed, even me.

Solution kama kuna WhatsApp ipo installed ifute kwanza.
Yah mkuu kama unarun zote mbili kwa pamoja inazingua,Mimi pia ilibidi niitoe official WhatsApp nibaki na GB asahiv inapiga mzigo fresh tu....
 
mimi nimepigwa BAN instagram, nilikuwa natumia gninsta sasa hata nikitumia ya kawada account yangu inagoma
 
Kero nyingine ya official whatsapp ni pale inapotolewa update. Unalazimishwa kuupdate kwa kufungiwa matumizi ya ile version ya zamani hadi uupdate. Yaani nachukia sana tabia hii. Unakuta una vi MB vichache unataka kusoma taarifa za muhimu usepe sasa wanakulazimisha ununue kifurushi kuupdate. Lakini gbwahatsapp utaletewa notification unaipotezea hadi utakapokuwa tayari kuupdate huku ukiendelea na maisha kama kawaida. Yaani hadi raha.
 
hahahahaa
 
Kubwa sana nikwamba
unaweza kumfanyia mtu mmoja mmoja unachotaka na si namba zote
mfano hutaki mtu fulani ajue uko hewani unamfanyia huyohuyo tu na wengine wanakuona hewani
unaweza wekea password baadhi ya namba ili mtu asisome chatting zenu
mtu akiweka status ama akatuma meseji akafuta kwako itabakia wala haifutiki
unaweza forwad video unazotumiwa bila kuzidownload
unaweza kuwa online hata kama simu yako umezima
iko na mambo mengi sana mazuri naipenda mnooo
Natumia fm pia..unawezaje kuhide online status kwa mtu mmoja? Na hiyo ya kua online hata kama simu imezima ikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom