Namba za Makamanda wa Polisi Tanzania

Kama wanakimbia hapo polisi wanafanya kazi ya kuokoa Mali za raia kwahiyo kupiga simu kwakwo kunakuwa na faida

Polisi na wezi ni kitu kimoja. Ukiona mwizi kakamatwa ujue hakupeleka mgao.
Kuna mswali yalizuka mengi, kuna mzee wa 60+ years alikwenda na binti wa 20s kama sijakosea 30s hotel moja kubwa hapa jijini, mzee alifariki hapo hotel, polisi walipompekuwa wakamkuta ana kama 30K kiasi ambacho ni tofauti na hadhi ya hotel alimokuwa, watu walihoji sana juu ya hizo fedha
 
Moderator mmelala au kuna kitu huwa mnapewa..?
☝🏾
👇🏾
 
Ahsante sana,

sasa tutawafichua WAUZA MADAWA YA KULEVYA WOTE KWENYE MITAA YETU HASWA DSM.

MAJAMBAZI WOTE wanao ishi kwenye mitaa yetu, wezi, vibaka na wabakaji wote ktk mitaa yetu.

kwa mwendo huu na endapo sisi wananchi tutaamua kutoa taarifa za wahalifu ktk maeneo yetu na imani wataisha wote.

ombi letu kwa jeshi letu endapo tutawafichua, tunaomba muwape kibano cha maaana ili wafichue mitandao yote ya uhalifu.

pia inasemekana Wahalifu wengi wana kimbilia maeneo ya pembezoni mwa Jiji la DSM, mfano;
Boko/Bunju, Tegeta, Kibaha, Kibamba, Kisemvule, kivule n.k.
hivyo tusipuuze kufanya doria ktk maeneo hayo
 
hizi tuhuma kwa jeshi ni nyingi mno
Mungu anisamehe ila Kuna tukio moja Lina miaka kadhaa kurudi nyuma wilaya ya biharamlo kulitokea uvamizi na mtu kapigwa ya moyo sasa baada ya occid kuja na kuangalia hap yale makasha uvumilivu ulimshinda kamwaga Mchele mbele ya kuku alafu kutoka eneo la tukio hadi kituo kidogo Cha police ni nusu km na majizi yalitumia zaidi ya masaa 2 yapo tu lakini kinachoniuma zaidi Yule boss aliomwaga mboga katolewa fasta na mkuu wa kituo hapo kaachwa
Fikiria zaidi
 
Mambo yamepamba moto.ngoja tuone,naskia mtaani siku hizi majambaz wameanza kurudi kwa speed ya 6G.
 
Wizi kwa njia ya mtandao wako wapi? Jana nimepigwa hela inayotosha kununua mizinga miwili ya K-Vant aka kifutio!
 
Mungu anisamehe ila Kuna tukio moja Lina miaka kadhaa kurudi nyuma wilaya ya biharamlo kulitokea uvamizi na mtu kapigwa ya moyo sasa baada ya occid kuja na kuangalia hap yale makasha uvumilivu ulimshinda kamwaga Mchele mbele ya kuku alafu kutoka eneo la tukio hadi kituo kidogo Cha police ni nusu km na majizi yalitumia zaidi ya masaa 2 yapo tu lakini kinachoniuma zaidi Yule boss aliomwaga mboga katolewa fasta na mkuu wa kituo hapo kaachwa
Fikiria zaidi
Mmh...!
 
Back
Top Bottom