Namba za Magari Zamani

Namba za Magari Zamani

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,270
Kabla ya kuanzishwa kwa mtindo mpya wa usajili wa magari, magari yote nchini yalisajiliwa kwenye makao makuu ya kila mkoa. Kwa hiyo namba zilitumia jina la mji mkuu, mathalani kama ni Arusha, namba zilianza na AR, kama ni Moshi MS nk.Ili kuandikisha magari mengi zaidi herufi za miji zilinyambuliwa kama vile ARA MSA nk. Moshi kulikuwa na MSB ambayo ilizua utani maarufu wa Mchaga Si Binadamu.Sijui watu wangezua utani gani kama Arusha ingekuwa na namba ARV..........
 
Mbona za sasa kuna ASS,BAR, BAA, ARV, CTN,
 
Back
Top Bottom