Namba za Magari TZ



Sasa mnataka watakaokuja wale wapi?hivi nyie mazuzu?atlist huyo alieplan hii kitu amewaachia na watakaokuja angeifanya iwe ya milele je? Bravo che nkapa
 


Wasukuma wanamajina kama "kumalija" mkoa wa kagera wilaya inaitwa "katerero", morogoro "matombo"
 
Wasukuma wanamajina kama "kumalija" mkoa wa kagera wilaya inaitwa "katerero", morogoro "matombo"
umesahau KUNDUCHI, KIGOGO, CHANGOMBE, UKONGA, PASUA, NA KWA UPANDE WA ZANJ, MAKUNDUCHI, MCHAMBAWIMA, DOLE.
 


hesabu yako haiko sawa mkuu, hebu rudi tena kwenye macalculation yako ya mafactorial, set, milinganyo, na sequence and series bila kusahahu probability na logic,
ukitatizika ntakusaidia
 
hesabu yako haiko sawa mkuu, hebu rudi tena kwenye macalculation yako ya mafactorial, set, milinganyo, na sequence and series bila kusahahu probability na logic,
ukitatizika ntakusaidia

Hata mimi nilidhani jibu litapatika kwa vitu kama combination n permutation na siyo hesabu rahisi ya darasa la 5. Ila BAM (basic applied maths) yangu imekaa vibaya hadi nikachungulie kwanza (nipate desa).
 
Mbona mmeisahau hii

t666 vuz
 
Tatizo si mfumo kwani zitakapokwisha hizi za T ###LLL bado inaweza ikageuzwa kuwa TLLL### na kutumia combination nyingine. Tatizo langu ni kumpa mtu mmoja tu kazi ya kuandika hivyo vibao. Maoni ya ngu n i kuwa hili ni swala la TBS kuweka standard sizes za herufi, vibao na material na kuacha soko lifanye kazi yake. Fikiria ni wat wangapi ambao wamenyang'anywa tonge kwa tenda hii? Niko ughaibununi namba plate unachongesha kwa keymaker ukiwa na makaratasi halali ya kusajiri. Kama ilikuwa swala la usalama, mbona polisi kila siku wanakamata magari ya majambazi yakiwa na namba fake za Masasai? Hii tenda ifutwe na wigo upanuke. Ahadi ya CCM ni kuongeza ajira na si kubana kwa visingizio visivyo na mantiki kiusalama wala teknologia
 
Vile vile T 666 MBO itakuwa hapatoshi!!!
 
Si Masasi ni percentile tactics na jinsi ya kukaba fedha za kustaafu! We vipi aisee!!
 
Mfumo huu hauna tatizo kwa maana ukihitaji kujua gari huu ni ya wapi utapata jibu kwenye mtandao wa TRA.
 
Cheki hii sasa, Majina ya mawaziri wa nchi za wenzetu. Mr DAVID KINEMBE ( Miundo Mbinu KENYA) James Kakuma ( Biashara ZAMBIA) Akaja Akatomba ( NISHAT GHANA) Nalia na MBOO ( SHERIA BOTSWANA) Antoine Chipumbu ( Fedha Msumbiji) Chilambo Kafirwa ( Mazingira Malawi) Rozia Kamkundu ( Kilimo Zimbabwe) Jaqueline Natombeka ( Utamaduni South) Kazakuku Firafisi (Mipango Japan).
 

Hi tena kali? Hayo majina yakisomwa kwenye taarifa ukiwa na MKWE itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…