Namba za kukariri Tanzania

Watanzania tuna namba nyingi za kukariri
1. Namba ya ubatizo
2. Namba ya kipaimara
3. Namba ya mtihani form four
4. Namba ya mtihani form six
5. Namba ya chuo
6.TIN number au namba ya kitambulisho cha mjasiriamali
7. Namba ya PSSF/NSSF
8. Namba zako za simu
9. Namba ya bima ya afya
10. Namba ya leseni ya udereva
11. Namba ya kadi ya mpiga kura
12. Namba ya nyumba
13. Namba za gari au pikipiki
14. Namba ya NIDA
15. Namba ya akaunti ya benki
16. Namba ya king'amuzi
17. Namba ya LUKU
18. Namba ya cheti cha ndoa

Tuma namba nyingi za kukariri,
Ongeza zingine
Namba za siri akaunti za benki:
Namba za siri za akaunti za simu Eg M-Pesa, TigoPesa : Halopesa nk
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom