spiritual hero
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 354
- 64
Jitahidi uandishi kakuambia kama ulivyoandika mwaka 98 redio zilikuwepo?, jaribu kuedit iwe 1998 maana hii ni miaka tofauti 98 na 1998.
We mbumbumbu nimekuliiza mwaka 98 kulikuwa hata na redio...?????
Unawazimu wewe ehh???
Ugeanza na definition ya wapinga kristo ndio kina nani? Unavotaka kutuaminisha havipo maana havina science ndani yake... kadri muda unavyoenda mahitaji ya binadamu hubadilika ili kurahisisha maisha. matumizi ya namba ndio yamefikiaa kiwango cha juu ndio maana tunaongelea digitali. sasa katika mfumo uliopo, ni kwa mfumo wa digitali maisha ya binadamu yamekuwa rahisi kupita wakati wowote ule.
hizo rethorics zako bora ukae nazo ili kuficha umburula wako
senk yu
Samaham kama umekasrika hapa nachoona kwamba weng wamekalia tu story za 666 na mason bila kujua wanachokijadili.
kila wanachosema kuhs 666 ni ving sana na vinapishana ......havna fact ....tumwamin nan.
Thats y spend mijadala ya hivi.
Sorry again
duu shida ninini mbona unahemkwa kama changu aliyekopwa? you are not my headache, to me u r just a cocroach!
Dah hii mada yangu ya 2014 ilikosa vitu vingi muhimu sana.. Imekonda na haina marejeo mengi na ufafanuzi wa kutosha..in fact iko too shallow...! _[emoji3][emoji3][emoji38]NIMEJIFANYIA TATHMINI BINAFSI...!!![emoji848][emoji2827][emoji2]Miaka kama 20 hivi iliyopita jarida la x-factor lilitoa makala ya mpinga kristo atakavyotawala kupitia namba ya siri, wengi hawakumwelewa yule mwandishi ambaye alisema kuwa dunia yote itatawaliwa na hiyo namba hakuna muamaka utakaofanyika bila kuwa na hiyo namba ya siri na watu hawatatembea na pesa tena, leo hii nguvu ya mpinga kristo kupitia namba ya siri imejidhihisisha kwenye kila kona ya maisha yetu, kila kitu ni password, na hii imeathiri mpaka watumishi na nyumba za ibada!
Maada yako ya 2014. Ukipita kwenye mitandao ya simu kama voda, tigo nk, kuna kampeni inaendelea inayodhaminiwa na WB kuhusu Lipa kwa Simu (eg Lipa kwa Mpesa nk). Ni na malengo ni kuhimiza watu wasiendelee kutumia Cash badala yake manunuzi yote yafanyike kwa njia ya simu. Kampeni hii kwa Africa itafanikiwa kweli?Dah hii mada yangu ya 2014 ilikosa vitu vingi muhimu sana.. Imekonda na haina marejeo mengi na ufafanuzi wa kutosha..in fact iko too shallow...! _[emoji3][emoji3][emoji38]NIMEJIFANYIA TATHMINI BINAFSI...!!![emoji848][emoji2827][emoji2]
Mdogo mdogo itafanikiwa maana itafika mahali hakuna option zaidi ya hiyoMaada yako ya 2014. Ukipita kwenye mitandao ya simu kama voda, tigo nk, kuna kampeni inaendelea inayodhaminiwa na WB kuhusu Lipa kwa Simu (eg Lipa kwa Mpesa nk). Ni na malengo ni kuhimiza watu wasiendelee kutumia Cash badala yake manunuzi yote yafanyike kwa njia ya simu. Kampeni hii kwa Africa itafanikiwa kweli?
Mbona hizo lipa namba tunazitumia kutia/kupata cash kwa makato kidogo mkuu. Au sie ndio tumepotosha maana lengwa ya project yenyewe?Maada yako ya 2014. Ukipita kwenye mitandao ya simu kama voda, tigo nk, kuna kampeni inaendelea inayodhaminiwa na WB kuhusu Lipa kwa Simu (eg Lipa kwa Mpesa nk). Ni na malengo ni kuhimiza watu wasiendelee kutumia Cash badala yake manunuzi yote yafanyike kwa njia ya simu. Kampeni hii kwa Africa itafanikiwa kweli?
Unaitumia ndivyo sivyo hiyo Lipa yako na huenda ukaja kufungiwa ukiwa na mtaji wako kwenye simu. Pia naamini hiyo laini umeipata si zaidi ya miezi miwili iliyopita.Mbona hizo lipa namba tunazitumia kutia/kupata cash kwa makato kidogo mkuu. Au sie ndio tumepotosha maana lengwa ya project yenyewe?
Ngumu kumezaMiaka kama 20 hivi iliyopita jarida la x-factor lilitoa makala ya mpinga kristo atakavyotawala kupitia namba ya siri, wengi hawakumwelewa yule mwandishi ambaye alisema kuwa dunia yote itatawaliwa na hiyo namba hakuna muamaka utakaofanyika bila kuwa na hiyo namba ya siri na watu hawatatembea na pesa tena, leo hii nguvu ya mpinga kristo kupitia namba ya siri imejidhihisisha kwenye kila kona ya maisha yetu, kila kitu ni password, na hii imeathiri mpaka watumishi na nyumba za ibada!