Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,354
- 829,592
Miaka kama 20 hivi iliyopita jarida la x-factor lilitoa makala ya mpinga kristo atakavyotawala kupitia namba ya siri, wengi hawakumwelewa yule mwandishi ambaye alisema kuwa dunia yote itatawaliwa na hiyo namba hakuna muamaka utakaofanyika bila kuwa na hiyo namba ya siri na watu hawatatembea na pesa tena, leo hii nguvu ya mpinga kristo kupitia namba ya siri imejidhihisisha kwenye kila kona ya maisha yetu, kila kitu ni password, na hii imeathiri mpaka watumishi na nyumba za ibada!