Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,438
Wadau kuna namba ya simu nimekuwa nikipiga kwa muda mrefu sasa najibiwa na sauti ya customer care "Namba imefungiwa".
Nimejiuliza sana hii ina maana gani? Je itakuwa mwenye namba amefanya kosa na kufungiwa asiwasiliane au kaniblock nisimpate hewani?
Msaada twafadhali.
Amefunga mwenyewe tu nasio wewe tu usimpate ila woote hawampati
Sio kweli mkuu. Provider hawezi kukuambia namba imefungiwa wakati mteja mwenyewe amieiblock hewani. Kwa kawaida watakwabia "mteja unayepigia hapatikani, jaribu baadaye". Kufunga namba wanafunga wenyewe kama kuna sababu labda matumizi mabaya au namba kutotumika kwa muda mrefu.
Mimi pia laini za vodacom na tigo zote zimefungiwa naambiwa niwasiliane na customer care. Sijazirecharge muda mrefu, mambo ya crossnetwork bundles hayo.
ni kweli mkuu mtu akiweka hizo code lazima provider akwambie hivyo kuwa namba imefungiwa hata me nawekaga nikiona pipo wananisumbuaSio kweli mkuu. Provider hawezi kukuambia namba imefungiwa wakati mteja mwenyewe amieiblock hewani. Kwa kawaida watakwabia "mteja unayepigia hapatikani, jaribu baadaye". Kufunga namba wanafunga wenyewe kama kuna sababu labda matumizi mabaya au namba kutotumika kwa muda mrefu.
Mimi pia laini za vodacom na tigo zote zimefungiwa naambiwa niwasiliane na customer care. Sijazirecharge muda mrefu, mambo ya crossnetwork bundles hayo.
ni kweli mkuu mtu akiweka hizo code lazima provider akwambie hivyo kuwa namba imefungiwa hata me nawekaga nikiona pipo wananisumbua
Hata nawe waweza kuzuia namba yako isipatikane hewani. Ingiza *35*0000# kisha piga
Ila sijui baba lao wanatuia code zipi

mkuu mbona mimi inagoma sasa
*35*0000*16# hii ni ya kuzuia sms
How do i know my phone security code?hiyo 0000 ni security code, ukiona inagoma security code ya simu yako itakuwa siyo hio so replace 0000 with your phone security code