changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 5,587
- 9,179
CAF wametoa list ya timu zitakazoshiriki michuano ya klabu bingwa na Shirikisho Africa. Pia wametoa orodha ya timu zitakazoanzia hatua ya awali na zitakazoanzia hatua ya pili kwenye michuano yote miwili. Swala la Simba kuanzia hatua ya awali imejulikana kwamba kigezo kipi kimetumika. Ila sielewi upande wa Azam kwanini anaanzia hatua ya pili kwenye kombe la shirikisho?
Swali langu kwanini Azam anaanzia hatua ya pili?
Swali langu kwanini Azam anaanzia hatua ya pili?