+255693364917
Wadau nilipigiwa simu na hii namba jana asubuhi nikiwa kazini nikashindwa kuipokea ila kila nikiipigia naambiwa si sahihi.
Katika kuipa umakini wadau wananambia namba zenye mfumo huu huwa ni za kuitwa ktk usaili, nikataka kujua kutoka humu kama kuna mwenye uzoefu na hili hasa kwa hii namba ili kama ni kweli nipajue nione namna ya kujisalimisha.
Huwa natuma maombi maeneo kadhaa hivyo ni ngumu hata kuhisi...
ANY SERIOUS THOUGHT PLEASE..