Namba saba ina nini !!

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,760
Reaction score
37,360
Najaribu kutafakari hii namba saba lakini ina niweka kunywe kutafakari zaidi hata kiimani zaidi.

Si geni kwa wale wanao jua dini kusikia kwenye vitabu biblia na Quran ikitaja siku saba za umbaji.
Lakini ki sayansi kupata ardhi leya saba kushuka chini.


Angani napo ni saba



Ukija kwenye ngozi kuna layer saba


Kuna neno kitaalamu DNA lakini utambulika kujua vina saba(7)

Mpaka kujua mwisho wa ulimwengu wa anga lazima umalize mbingu saba


Na hii nimoja inayotambulika

Je na lile neno msamehe saba mara sabini

Tuchambueni jamani
Wanazengo
 
Kibiblia 7 inamaanisha 'ukamilifu' hata neno 'saba' ni la kiebrania na maana yake ni utimilifu/satisfaction/completeness

Ndomana kuna
Makanisa saba ya ufunuo.
kila baada ya miaka 7 waisrael ilibidi wasamehe madeni na kachia watumwa.
Naamani aliambiwa na Elisha akaoge mtoni mara 7.
Waisrael waliuzunguka Jeriko mara saba, kwa siku saba wakiwa na Tarumbeta saba.

Ufunuo imejaa saba,Kuna malaika saba,mihuri saba,Tarumbeta saba,vikombe saba,Taa saba nk. nk.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
there are two groups according the universal energy
1)3 6 and 9
2) 1 2 4 5 7 and 8
 
Inamaana kama Mungu aliumba Na Alipomaliza ikawa ndio siku ya saba kuna tatzo kwani????
...Kama MUNGU angeamua kuumba taratibu kuna uwezekano mkubwa angemalizia uumbaji siku ya kumi,

...Hiyo Samehe saba mara sabini kwani ina shida gani? mbona minaona ni neno la kawaida sana? hiyo maana yake nikwamba samehe mara nyingi,

Mnapenda kujitwisha mizigo kibaaao bure
 
7 bwana kuupata undani wake ni ngumu sana.

Kwa kabila la wakurya huwezi kutoa mahari ya ng'ombe saba, huwezi kufanya sherehe yoyote mwezi wa saba, huwezi kumpa mtu zawadi yoyote yenye namba au jumla ya vitu saba nk. Kwa hiyo hii namba 7 ina siri kubwa sana.
 
Reactions: Fbn
Ukuryani hata kabla ya hizi dini hazijajja walikuwa wakianza msimu wa kazi, siku ya saba wanapumzika
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…