Namba msaada wakuu-simu aina ya tecno p3

Namba msaada wakuu-simu aina ya tecno p3

simu ya mchina majanga sana
1. betri inajaa baada ya dakika tatu
2. ndege ikipita simu inaandika 1 MISSED CALL
3. ukiwa karibu na jiko inaandika CHARGER CONNECTED na
4. ukipita karibu na mchina, inaonyesha NEW DEVICE FOUND.....!

hahahahaha
 
Kwenye message setting disable cell broadcast
Mkuu naomba msaada Kama unaifaham hii Simu,tokea asubuhi naitafuta hiyo cell broadcast sijaipata.Nimechoshwa na hizi sms,nimebadili line sasa naletewa taarifa za mnara kila ninapohama eneo....
 
Wajameni,nimeingia kwenye setting - Application setting - Running services - nikabonyeza All.Hapo nikaipata cell broadcast ,ila siwezi fanya chochote Kwani batton hazijaji highlight,NIFANYEJE WAJAMENI????????
 
Hizi simu zenye harufu ya mchainizi balaa tupu...
 
Wakuu nimefanikiwa kutatua tatizo langu,mbarikiwe kwa juhudi zenu
 
Mkuu nimeinunua but inanizengua kuconnect rafiki yangu. niifanyeje?
 
Back
Top Bottom