Namba msaada wakuu-simu aina ya tecno p3

Namba msaada wakuu-simu aina ya tecno p3

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
Hii simu nimenunua jana,tokea niweke line ya tigo nimekuwa nikitumiwa sms iko hivi "CH(50): TIGO PESA *150*01#"Hadi sasa zimeingia sms zaidi ya 150,nimechoka kabisa.Nimewapigia tigo wanasema tatizo ni kwenye simu.Nifanyeje wakuu
 
Hizo ni broadcast messages, unatakiwa ku-disable simu zisiingie
 
Hii simu nimenunua jana,tokea niweke line ya tigo nimekuwa nikitumiwa sms iko hivi "CH(50): TIGO PESA *150*01#"Hadi sasa zimeingia sms zaidi ya 150,nimechoka kabisa.Nimewapigia tigo wanasema tatizo ni kwenye simu.Nifanyeje wakuu

Kwenye message setting disable cell broadcast
 
simu ya mchina majanga sana
1. betri inajaa baada ya dakika tatu
2. ndege ikipita simu inaandika 1 MISSED CALL
3. ukiwa karibu na jiko inaandika CHARGER CONNECTED na
4. ukipita karibu na mchina, inaonyesha NEW DEVICE FOUND.....!
 
Hahahahaha Kweli au utani?
 
haaaaa hiii techno p 3 ipo fresh sna tatizo ni jinsi ya kufanya application baaada ya kudownload nizisave kwenye Sd card anayejua plz
 
mnaotaka kushauriwa simu ya kununua ni lazima utaje simu unayotumia sasa na simu unayotaka kununua la sivyo mtadanganyana tu hapa
 
mkuu kwa sasa natumia ideos sas nataka kubadili ni nunue Tecno P3,vp inaperform vizuri?
mkuu kama ni kile ki ideos kidogo kwenda p3 utakua umepanda juu sio mbaya, kuhusu perfomance itaongezeka ila quality ulikotoka na unapokwenda ni sawa tu.
 
mkuu kwa sasa natumia ideos sas nataka kubadili ni nunue Tecno P3,vp inaperform vizuri?

nakushauri chukua n3 japo p3 iko better kidogo ila haikai charge hata kidogo
nakwambia hivo sababu nilianza natumia n3 japo wajanja waliitaifisha
 
Mkuu nifanyeje ili ni disable hiyo cellbroadcast,sms zaidi ya 1000/-sasa
 
simu ya mchina majanga sana
1. betri inajaa baada ya dakika tatu
2. ndege ikipita simu inaandika 1 MISSED CALL
3. ukiwa karibu na jiko inaandika CHARGER CONNECTED na
4. ukipita karibu na mchina, inaonyesha NEW DEVICE FOUND.....!

kuna tecno ziko vizuri kuzidi zile simu za obama zenye batani nyingi!
 
Back
Top Bottom