Namba mpya za magari zaja...sehemu ya II

Kibu, ukiweza tuwekee namba za Pofu wale waliokuwa wanafugwa na Mtemi Senge. Manake nakumbuka enzi zile Punda wanatoka Jineri (uhasibu, uwanja wa ndege ilikuwa pori enzi hizo), wanapita huku maeneo ya Bomani (rest house), wanashuka ule mteremko wa Burudani (nyuma kidogo walikuwa wanalima Zabibu, na Bwana Kilimo alikuwa Damas), wanapita nyuma ya People's Club ulipojifunzia Pikipiki, wanatokea Utemini kwa Mtemi Senge, kulikuwa na Bucha pale.

Wanapewa namba wanaanza safari, wanapita mpaka Kindai (enzi hizo Kindai iliwahi kupigana na Singidani, Singidani ikashindwa, kumbe mambo ya biolojia hayo). Haya tupe hizo namba za Pofu na Punda ukiweza mkuu.
 
Singida unaijua Kamanda!
Nimesoma bandiko hilo mara mbilimbili, huku mwili ukinisisimuka.... MMhm nimekumbuka mbali sana leo!
 
...enhe, namba 'mpya' zimefikia alphabeti gani huko nicheke?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom