Namba Mpya ya Taifa ni 623/2026

Namba Mpya ya Taifa ni 623/2026

Hii ndio namba ya Shujaa Tundu Lissu aliyopewa kama Mfungwa huko Gerezani

Tunaangalia uwezekano wa kushauriana na kiwanda Kimoja cha nguo huko Thailand (Tuna koneksheni) ili kutengeneza Fulana au Magwanda yenye Nembo hiyo na Picha yake

Endelea kutufuatilia
Namuonea huruma mama aliyekuzaa, yaani mhalifu aliyefungwa ni shujaa? We ni zaidi ya mwehu, huyo kibaraka kwisha hbr yake hawezi kugombea tena ht uenyekiti wa kijiji
 
Back
Top Bottom