Namba Mpya ya Taifa ni 623/2026

Namba Mpya ya Taifa ni 623/2026

Imekuuma sana! Kama hufurahii usijishughulishe na mambo ya watu!
Iniume kwani Mwenyekiti wangu amepigwa para?!!!
Halafu mbona mmegeuka kuwa na vijivineno kama vya kwenye kanga hivi......eti "imekuuma"🤣🤣🤣🤣. Majasiri kweli nyie, mnawezaje kuachia vijineno kama hilo?!!!
 
Hii ndio namba ya Shujaa Tundu Lissu aliyopewa kama Mfungwa huko Gerezani

Tunaangalia uwezekano wa kushauriana na kiwanda Kimoja cha nguo huko Thailand (Tuna koneksheni) ili kutengeneza Fulana au Magwanda yenye Nembo hiyo na Picha yake

Endelea kutufuatilia
Kafungiwa jela gani, Ukonga au Segerea?
 
Iniume kwani Mwenyekiti wangu amepigwa para?!!!
Halafu mbona mmegeuka kuwa na vijivineno kama vya kwenye kanga hivi......eti "imekuuma"🤣🤣🤣🤣. Majasiri kweli nyie, mnawezaje kuachia vijineno kama hilo?!!!
Maneno ni maneno tu kama umeelewa ujumbe inatosha! Punguza shobo na chuki utaishi kwa amani tele!
 
Yaani Mimi Nina shobo na chuki?!!!!!!!!! Dah!
Wenye shobo na chuki ni nyie, nyumbuzzz. Hamtulii, Kila sekunde mnaanzisha mada za kumshobokea Samia na kuonyesha michuki yenu.
 
Una ugonjwa kichwani unakusumbua basi! Wapi me nimemtaja samia? La msingi nimekwambia acha kushoboka na mambo yasiyokuhusu kama unaona hufurahii! Lisu na samia wote wanasiasa kila mmoja ana watu wake na safari yake kisiasa! Ila wewe chawa una chuki zisizo za msingi ndio maana nilikwambia mapema kama haikuhusu kausha tuondolee shobo na chuki za kijinga kwa Lissu.
 
Utakuwa unaumwa kifaduro wewe
 
Hii ndio namba ya Shujaa Tundu Lissu aliyopewa kama Mfungwa huko Gerezani

Tunaangalia uwezekano wa kushauriana na kiwanda Kimoja cha nguo huko Thailand (Tuna koneksheni) ili kutengeneza Fulana au Magwanda yenye Nembo hiyo na Picha yake

Endelea kutufuatilia
Lissu anajisaidia kwenye mtondoo, nyie mnatumia fursa ya kupiga hela. Ahahahahaha! Wajinga ndio waliwao!!
 
Back
Top Bottom