Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,587
Heko kwenu wadau,
Wakati fulani nilipokuwa nasoma kitabu cha THINK LIKE A CHAMPION kilichoandikwa na Raisi Donald J. Trump nilisoma mahali fulani ambapo aliitaja hii namba 1.6180339887 kama GOLDEN RATIO ambayo imewahi kutumiwa na watu mbalimbali kwenye kazi zao, kwa mfano amemtaja DA VINCI.
Lakini pia ameielezea namba hii kwa ufupi sana huku akisisitiza kuwa ni namba ya maajabu. Trump akaandika pia kuwa yeye hashauri watu kuamini katika maajabu ya namba ili kufanikiwa katika uvumbuzi na kazi zao bali wafanye kazi kwa bidii na akili ili wafanikiwe.
sasa wadau, kama unajua chochote kuhusu namba hiyo karibu ututoe tongotongo kwa ujuzi wako.