Kwa gari ulilosema roughly itakua na matumizi haya:
1. Mafuta 5,000 kwa siku, Mwezi ni 150,000/=
2. Service kwa miezi 6 oil (Tsh 80,000/=), brake zinaweza kaa ata mwaka (Tsh 80,000/=), kuosha na parking roughly 100,000 kwa mwezi, na emergency na accessories Tsh 100,000/= kwahiyo ukipiga math average kwa mwezi ni 200,000/=
Kwahiyo kama upo tayari kutenga Tsh , 200,000 hadi 300,000/= kwa mwezi, unaweza.