Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 920
- 1,454
Kuanzia leo namba 8 haipo! ! !
Itatubidi tuhesabu ...5, 6, 7, 9, 10....
Mwenye wasifu wa namba 8 atusaidie ili tutangaze kumtafuta!
Huyu namba 8:
1) Kwao wapi?
2) Baba yake ni nani?
3) Tunaomtafuta tusingekuwepo kwenye dunia hii, je namba 8 angekuwepo? Au namba 8 ni maruweruwe yetu tu?
Nimehangaika kutafuta wasifu wa namba 8, nimeambulia wasifu huu wa ndugu yake namba 8, namba 8 katajwa humo kidogo angalau nimepata mwanga.
Namba 8 imepotea!
View: https://youtu.be/41bIJ7hYbLs?si=mDC9Zxf07mAQTPxo