Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
Namba 16 imeitwa jina la kuwa ni NAMBA YA WASICHANA kutokana na wengi wao kudanganya umri kwa wapenzi na marafiki zao.
msichana mwenye miaka 14 ama 15 anasema ana miaka 16,msichana ana miaka 17 ama 18 ama hata 19 anakomaa kuwaamisha watu kuwa ana miaka 16.
INASEMEKANA WANAWAKE(wasichana) WENGI WANAITUMIA NAMBA 16 kudanganya umri wao.
Hebu niambieni kila mmoja kama amepata kudanganya umri mara nyingi zaidi kwa kutumia umri wa miaka 16 na kwa nini mnatumia zaidi miaka 16???
How old are?Jibu:16 kumbe hapana.
NILIFANYA PIA KAUCHUNGUZI KADOGO BAADA YA KUONA HII nikabaini kuna ukweli fulani japo sababu kwa wasichana kufanya hivi sikuzibaini mana wahusika hawakubainisha sababu.