Akilibandia
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 479
- 660
Despite all his qualities, despite all his skills and goals. Michael Ballack never ever won a Champions League or World Cup. This fact will never change. Player like Anderson (Manchester United) and Ricardo Carvalho (Chelsea) have won more champions league then him. Players like Steve Mandanda (France) and Skhodran Mustafi (Germany) have won more world cups than the German powerhouse.Hivi Michael Ballack alikua anavaa jezi namba ngapi vile??? Alikua na mikosi ktk carrier yake au???
Ndio, ni kutokana na kuwepo kwa theories tofauti tofauti
Na bila kusahau katika Last supper picha iliyochorwa na Da vinci kama Sikosei..Habari wakuu,
Kuna hii habari iliyochapishwa na Nipashe kuhs kutokuwepo Kwa siti namba 13 kwenye ndege
Rubani huyo pia anatoa ufafanuzi kuhusu ndege kutokuwa na kiti namba 13 katika utaratibu wa maalum wa safu, akibainisha kuwa kunatokana na imani kwamba namba hiyo ina shida, ni namba hatari kuliko zote katika usafiri huo
Ndege nyingi hazina kiti namba 13. Ninajua ni jambo la kuwashangaza wengi. Mfano, ndege Aina ya ATR 72 au ATR 42 hazina kiti namba 13.
Nimejaribu kupitia pia comments za watu wengi wanadai hata kwenye mahotel, namba 13 haipo
Eti wakuu shida inaweza kuwa nn hapo?
Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli ....mnaweza kutusaidia
View attachment 2866129
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kutuambiaje sisi tuliozaliwa tarehe 13 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari wakuu,
Kuna hii habari iliyochapishwa na Nipashe kuhs kutokuwepo Kwa siti namba 13 kwenye ndege
Rubani huyo pia anatoa ufafanuzi kuhusu ndege kutokuwa na kiti namba 13 katika utaratibu wa maalum wa safu, akibainisha kuwa kunatokana na imani kwamba namba hiyo ina shida, ni namba hatari kuliko zote katika usafiri huo
Ndege nyingi hazina kiti namba 13. Ninajua ni jambo la kuwashangaza wengi. Mfano, ndege Aina ya ATR 72 au ATR 42 hazina kiti namba 13.
Nimejaribu kupitia pia comments za watu wengi wanadai hata kwenye mahotel, namba 13 haipo
Eti wakuu shida inaweza kuwa nn hapo?
Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli ....mnaweza kutusaidia
View attachment 2866129
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu,

Ubungo Plaza ipo floor ya 13Hata kwenye lift.
Floor ya 13 huwa wanaruka
Hiyo namba 13 inabeba mambo mengi. Ni kweli Katika karamu ya mwisho ya Bw. Yesu pamoja na wanafunzi wake ilifanyika ikiwa na washiririki walikuwa 13. Na ilimalizikia yuda iskariote kujiua. Lakini ni mtazamo tu.Nilipohesabu na 13 kuwa upande wangu nikawaambia turudie tena, wakati wanauliza why nikawa nasogea mbele then nikarudi kusimama eneo lingine tofauti na nilipokuwa awali.
Niliwaambia mmekosea mnapaswa kuanzia mbele siyo chini, tuliporudia nikahesabu 12, tukaendelea, daaa [emoji23][emoji23]!.
Hata kwenye majengo mengi hakuna floor number 13, ukitoka 12th floor unaingia 14th floorHabari wakuu,
Kuna hii habari iliyochapishwa na Nipashe kuhs kutokuwepo Kwa siti namba 13 kwenye ndege
Rubani huyo pia anatoa ufafanuzi kuhusu ndege kutokuwa na kiti namba 13 katika utaratibu wa maalum wa safu, akibainisha kuwa kunatokana na imani kwamba namba hiyo ina shida, ni namba hatari kuliko zote katika usafiri huo
Ndege nyingi hazina kiti namba 13. Ninajua ni jambo la kuwashangaza wengi. Mfano, ndege Aina ya ATR 72 au ATR 42 hazina kiti namba 13.
Nimejaribu kupitia pia comments za watu wengi wanadai hata kwenye mahotel, namba 13 haipo
Eti wakuu shida inaweza kuwa nn hapo?
Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli ....mnaweza kutusaidia
View attachment 2866129
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uongo nani alikagua hayo mabus yaliyopata ajali kua yalikua na seat na 13 namba 13 kiimani inaogopwa coz haiingiliki kirahisiHata kwenye baadhi ya gest houses, lodge na mabasi ya mikoani hiyo namba haipo.
wazee flani niliwahi kuskia wanadai hiyo namba ina mikosi sana,
Lakini pia hutumika kutoa kafara.
Akatoa mfano mgumu kidogo eti hebu fuatilia basi na kampuni zinazopata ajali sanaaa....
anasma utakuta hiyo basi ina siti namba 13, halafu within the same bus company Lakini basi nyingine hazina hiyo namba 13....
Zinakuepo chache kwa kaz maalumu [emoji205]
ikitokea tukacheki bas ndugu yangu unaebisha na usiekua na uthibitisho wenye utafiti 🐒Huu uongo nani alikagua hayo mabus yaliyopata ajali kua yalikua na seat na 13 namba 13 kiimani inaogopwa coz haiingiliki kirahisi