Darkhorse001
JF-Expert Member
- Dec 19, 2020
- 308
- 544
Mkuu.... labda Kuna maelezo yanayojisheleza kuhusu hyo namba?Kazi kweri kweri
Ova
Duh?!Hata hoteli hazina chumba namba 13, Ijumaa ya tarehe 13 ina mikosi na floor namba 13 huwa haipo kutokana na imani hiyo.
Floor namba 13 ipo bhana 😂 😂Hata hoteli hazina chumba namba 13, Ijumaa ya tarehe 13 ina mikosi na floor namba 13 huwa haipo kutokana na imani hiyo.
Yeah. Unakuwa mzembe halafu matokeo ya uzembe wako unayabandikia sababu eti ni kwa namba 13. Mbona kama kuna kijana wako katimiza miaka 13 husemi 14 au 15 n.k.??waweke wasiweke kama imo imo tu
Habari wakuu,
Kuna hii habari iliyochapishwa na Nipashe kuhs kutokuwepo Kwa siti namba 13 kwenye ndege
Rubani huyo pia anatoa ufafanuzi kuhusu ndege kutokuwa na kiti namba 13 katika utaratibu wa maalum wa safu, akibainisha kuwa kunatokana na imani kwamba namba hiyo ina shida, ni namba hatari kuliko zote katika usafiri huo
Ndege nyingi hazina kiti namba 13. Ninajua ni jambo la kuwashangaza wengi. Mfano, ndege Aina ya ATR 72 au ATR 42 hazina kiti namba 13.
Nimejaribu kupitia pia comments za watu wengi wanadai hata kwenye mahotel, namba 13 haipo
Eti wakuu shida inaweza kuwa nn hapo?
Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli ....mnaweza kutusaidia
View attachment 2866129
Sent using Jamii Forums mobile app
KumbeSearch threads kuhusu namba 13. Zipo nyingi zinazoelezea hiyo kitu humu.
Hivi Michael Ballack alikua anavaa jezi namba ngapi vile??? Alikua na mikosi ktk carrier yake au???Habari wakuu,