Namba 022 290 0999 ni ya nani!?

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
657
Reaction score
514
Wanajf wenzangu naomba kuuliza kama kuna mdau anafahamu namba hii ya nani au taasisi gani nimekuta micd calls zake ktk cm yangu! Si mnajua mambo ya kazi bandugu! Msaada plz
 
Ayaaa umepishana na interview na tatizo lao hizi ofisi ukiwapigia hawapokei.
 
Asanten ndugu zangu ngoja nitafute kitabu cha cm cha ttcl
 
...mwenzio kachelewa kufika ofisini, bosi ndo alikuwa anamtafuta kupitia wewe
 
izo namba ni za ofisini,kama kuna sehemu uliacha cv zako itakua ulitakiwa ufikepo na hujapokea
 
Kutafuta kwenye kitabu kwa kutumia namba !!!! macho yatabonyea try.........
 
Huyu anasumbua kwa kurudia post mara kwa mara pamoja ya kulalamikiwa
.Acha usumbufu wewe kwani thread ile uliyoanzisha haikutoshi mpaka uweke bandiko lako kwenye post za wenzako?unazingua bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…