nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Wadau mimi nasoma Bachelor of accountancy chuo flani jijini Dar, kama mnavyojua tatizo la ajira ni kubwa sana na sitegemei kupata kazi kirahisi (hii ni kutokana na kuwa na matokeo mabovu).
Nilikua nafaidika na mkopo wa HESLB lakini sikufanikiwa kusave hata 100. Hela zote nlimalizia kwenye starehe na matumizi binafsi sasa nimebakiza mwezi mmoja nirudi kwetu Arusha.
Najiuliza zaidi ya maswal 100
Ushauri
Jamani kuna yoyote alishapitia hii stage na alijikwamua vipi?

- Mtaani nitapaweza?
- Ajira ntapata?
- Ukisema nijiajiri capital ntapata wap?
- Wazazi nyumbani wanadhani mimi ni jembe ndo ntawakomboa home. Je, watanielewaje wakiniona jobless pale home?
- Girl friend wangu kanambia nisipomuoa baada ya miaka miwili anapita hivi... Je, nitaweza kuoa??
- Na maswali mengine kibao
Ushauri
Jamani kuna yoyote alishapitia hii stage na alijikwamua vipi?