Naanza kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha pata kazi serkalini,pili nalishukuru sana jamvi la jf,mambo mengi tunajifunzia hapa kwa ushauri wa wadau humu.hata kazi nyingi taarifa zakezinapatkana jf,thanks sana na sikuwa hata na refa,jamani kazi zinapatikana cha msingi kusali,kujiamini na kujibu vizuri kwenye intavyuu,na watu ambao hawajapata msife moyo pleasee jf inatutoaaaa thanksssss