Nalishukuru jukwaa nimepata kazi

mattnard

Senior Member
Oct 14, 2012
106
32
Naanza kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha pata kazi serkalini,pili nalishukuru sana jamvi la jf,mambo mengi tunajifunzia hapa kwa ushauri wa wadau humu.hata kazi nyingi taarifa zakezinapatkana jf,thanks sana na sikuwa hata na refa,jamani kazi zinapatikana cha msingi kusali,kujiamini na kujibu vizuri kwenye intavyuu,na watu ambao hawajapata msife moyo pleasee jf inatutoaaaa thanksssss
 
Hongera mkuu, katumikie taifa ila ucjisahau ukaanza leta mbwembwe kwa wananchi wa kawaida.
 
Naanza kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha pata kazi serkalini,pili nalishukuru sana jamvi la jf,mambo mengi tunajifunzia hapa kwa ushauri wa wadau humu.hata kazi nyingi taarifa zakezinapatkana jf,thanks sana na sikuwa hata na refa,jamani kazi zinapatikana cha msingi kusali,kujiamini na kujibu vizuri kwenye intavyuu,na watu ambao hawajapata msife moyo pleasee jf inatutoaaaa thanksssss

Ongera sana, ila toa ayo maneno ya kujibu vzur kwenye interview manj kuna watu huwa wanajibu vzur na wanaachwa kama sio ridhki.. we zid kumshukuru Mungu inatosha sana.
 
Naanza kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha pata kazi serkalini,pili nalishukuru sana jamvi la jf,mambo mengi tunajifunzia hapa kwa ushauri wa wadau humu.hata kazi nyingi taarifa zakezinapatkana jf,thanks sana na sikuwa hata na refa,jamani kazi zinapatikana cha msingi kusali,kujiamini na kujibu vizuri kwenye intavyuu,na watu ambao hawajapata msife moyo pleasee jf inatutoaaaa thanksssss

Kumbuka wale waliotakaswa na Yesu, urudi ukatoe shukrani!
 
Wadau vp hvi walochaguliwa uhamiaji kama umeptia JKT lazma uende depo tena,au unakwenda koz zao bila kwenda depo?
 
Wah!hongera mwenzangu umepata pia Mungu ni muweza,afu nlikuwa nakutafuta zunguka pm yako ndugu.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom