Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,779
- 13,704
We acha tu mkuu sasa hivi ukienda kwenye ofisi za umma ndo utajuwa jamaa alijuwa kuwatia adabu.Mtetezi?
Hahah huyu huyu aliyekua anasema hadharani traffic wapewe rushwa.
We acha tu mkuu sasa hivi ukienda kwenye ofisi za umma ndo utajuwa jamaa alijuwa kuwatia adabu.Mtetezi?
Hahah huyu huyu aliyekua anasema hadharani traffic wapewe rushwa.
ona huyu anaripa 50,000/=Ulikosea ulivooenda kuongea na Afisa wa hizo leseni ungempa chake angekupunguzia kwenye leseni.Kwa hiyo ungekuwa unalipa kiasi unachoona kinaendana na kipato.Tueidanganyane kujifanya wazalendo rushwa inasaidia sana kipindi hiki ambacho mtetezi ametangulia mbele ya haki.
Zaidi ya moja...Umeshawahi kufanya biashara?
Zaidi ya moja...
Mbn ndogoNina biashara nguo za spesho rejareja je!? nihalali kulipia leseni sh, 103,000/= nipo Wilaya ya Mbogwe, Geita