Mkuu hata mimi niliisoma article ya Kibanda na niliona jinsi alivyoonesha chuki zisizo na msingi kwa mzee Sitta. At first nikashangaa namna ambavyo gazeti la TZ daima lilivyofanya U-Turn kwa mtu anayepiga vita malipo ya Dowans.
Nadhani watu wa Mwananchi nao hawakupendezwa na hiyo article ndio maana wakamhoji mzee Msuya waone kama kweli na yeye hajapendezwa na Sitta kama Kibanda alivyokuwa anaproject.
Mzee akaeleza bayana kuwa yupo upande wa Sitta. Nadhani anachofanya Kibanda ni kujaribu kuwafrustrate kimtindo watu wanaopingana na malipo ya Dowans. Sitta sio mkamilifu by any measure of standards lakini anaposimama upande wa wananchi lazima tumsapoti.
We don't dispute this, we are only saying he's on RA's payroll and he can't deny that, so u shouldn't speak for him! He's a member here, he can pm me abt itSIO LAZIMA WOTE TUKUBALIANE NA SITTA NA HATA KIBANDA SIO LAZIMA TUKUBALIANE NAE NA HILI SIO SWALA LA KUJENGA CHUKI,TUNAWEZA KUMCRITISIZE LAKINI SIO KUMZUSHIA ETI YUKO KWENYE PAYROLL YA RA ,SIO POA KIBANDA NA SITA NI WATU NA WANA HAKI KIKATIBA KUTOA MAWAZO KAMA SITTA NAE KACHUKIA ARUDI KWENYE VYOMBO VYA HABARI ASEME ANAONAJE MAONI YA KIBANDA.
KIBANDA NI SHUJAA AMELIJENGA TANZANIA DAIMA KUTOKA ZERO MPAKA HAPO LILIPO NO ONE CAN SAY NO ON THIS EVEN AIKAELI FREEMAN MBOWE ANAJUA KAZI YA KIBANDA NI PERFECT ALWAYS,
HONGERA FREEMEDIA KWA UHURU WA MAONi.
article 13(4)we don't dispute this, we are only saying he's on ra's payroll and he can't deny that, so u shouldn't speak for him! He's a member here, he can pm me abt it
Mnaweza kutuwekea Article Nzima ili Tuijadili Hiyo Article? Maana msipoiweka watu wataanza Kumjadili Mtu badala ya Article yenyewe
...........Kwanza hakuna mahala popote ambapo mawaziri katika serikali ya sasa baada ya uchaguzi wamekaa kujadili kama baraza la mawaziri kuhusu hukumu ya ICC kati ya mafisadi Dowans na Serikali ya CCM. KWA HIYO, suala la uwajibikaji wa pamoja halipo kwa sababu mawaziri hawajawahi kukaa na kujadili na kuwa na uamuzi wa pamoja kuhusu hukumu ya ICC.
Hebu tuwe na culture ya kusoma. Tuache uvivu. Yaani pages 2 watu mnalalamika.
By the way hayo yalishajadiliwa hapa JF
Kama nilivyochangia kule kwenye thread ya hoja kwenda kwa Balile wa Mtanzania, mathinkers wengi humu tunaelekea kuwa mediocres-hatusomi.Mwandishi anafanya kitu ambacho watanzania wengi na hata wachambuzi makini wameshindwa kukifanya. Kibanda amekuwa akindika kila wiki kwa takribani mwezi sasa katika Tanzania Daima la Jumatano kumkashifu Sitta na akionekana kuchekelea zigo la mabilioni wanayotakiwa kulipwa Dowans. Kibanda amekuwa akichekelea lakini kwa ujanja ambao si wake, amekuwa akisukuma zigo hilo eti ni lawama kwa Sitta na Bunge lake lililozikataa Richmond na Dowans.
Balile amekuwa akiandika upuuzi huo na hakuna wa kumjibu, mathinker wanapotumia jukwaa hili kujibu kwa hoja sadifu, mathinker wanaotakiwa kusoma wanaishi aya ya kwanza na kuanza kulaumu, kama si ujinga wa kweli, basi nadhani kuna watu wanahujumu hili jukwaa kwa kuanzisha mada za kupuuza michango yenye nguvu matokeo yake jukwaa hili litakosa maana.