Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,299
Hizi ni Story za nguate tu
Unaota Tena kweupeeeNikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe
Nini maoni yako?
#mtotowaafrika
#kazindokazi
Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe
Nini maoni yako?
#mtotowaafrika
#kazindokazi
Katiba ni sasaBado sana labda 2030 baada ya katiba
CCM haiwezi kuanguka kwa maana inazijua siasa dola vilivyo. Hofu yangu, kuna baadhi ya wanasiasa ndio watakaoanguka ili kukinusuru chama kiendelee kushika dola. Hata ikibidi kuondolewa Mwenyekiti.Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe
Nini maoni yako?
#mtotowaafrika
#kazindokazi
Leo ni 2023 , miaka kumi na moja baadae CCM bado iko madarakani inadunda na hakina hata dalili ya kutoka madarakani miaka 1000 ijayo!!!
To start with ni wapinzani wepi hao unao wazungumzia wa kuireplace CCM?.Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe
Nini maoni yako?
#mtotowaafrika
#kazindokazi
Naunga mkono hoja, Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!Bado sana labda 2030 baada ya katiba
NJOZI NJEMA, NAIONA CCM IKIIMARIKA MARA 1000 ZAIDI.Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe
Nini maoni yako?
#mtotowaafrika
#kazindokazi
Kenya ina watu wa njano?Hamna uchaguzi Tanzania bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Uchaguzi upo Kenya.
Mkuu khoisan, ungesema kwa Zanzibar, labda you would have been right, lakini kwa huku Bara, kuna upinzani gani wa kuishinda CCM?, kama wewe unaamini kabisa CCM haijawahi kushinda uchaguzi, unamaanisha wapinzani ndio huwa wanashinda!, hebu tushirikishane japo kidogo tuu, ni wapinzani gani hao huwa wanashinda?.Tangu 2010, binafsi naamini CCM hawajawahi kushinda uchaguzi ....... wanajitangazia tu matokeo kwa namna wanavyotaka wenyewe.
Hebu fikiria, ota ndoto. Leo hii tuna Rais Tundu asiye na madaraka watoto wake raia wa Ubelgiji. Kuna na Waziri Mkuu Heche mwenye madaraka yeye ni mjaluo wa Kenya. Waziri wa Fedha ni Mbowe raia wa Dubai mkewe raia wa Marekani anaishi huko First Lady. Supika ni Fr. Msigwa.kwa hiyo wewe ulitaka makatazo yaendelee na utekaji uendelee? wizi wa kura live live uendelee ili kuilinda CCM ?
Kila jambo lina mwisho wake ndugu, hata Dola ya warumi ilianguka itakuwa CCM sheikh?
Wape wananchi haki zao... katiba iheshimiwe na wote, sheria za nchi ziheshimiwe - ukitekeleza haya basi wewe ni kiongozi bora. Usitawi wa Tanzania kwanza mengine baadaye.
Mkuu, kwa Zanzibar it's obvious.Mkuu khoisan, ungesema kwa Zanzibar, labda you would have been right, lakini kwa huku Bara, kuna upinzani gani wa kuishinda CCM?, kama wewe unaamini kabisa CCM haijawahi kushinda uchaguzi, unamaanisha wapinzani ndio huwa wanashinda!, hebu tushirikishane japo kidogo tuu, ni wapinzani gani hao huwa wanashinda?.
P
Mkuu CCM hii ya Tanzania au kuna CCM nyingine?Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe
Nini maoni yako?
#mtotowaafrika
#kazindokazi
Hili nililieza hapa uchaguzi wa 2015 Elections 2015 - Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!, kwa huku bara hakuna upinzani wa kuiondoa CCM!.Mkuu, kwa Zanzibar it's obvious.
Huku Bara, kwa jinsi matokeo yalivyotolewa 2010 na 2015 you could tell kuwa CCM waligalagazwa. Binafsi naamini Dr. Slaa alimgalagaza JK 2010 na Lowasa alimgalagaza JPM 2015. Unafikiri ni kwa nini JPM aliamua kuchafua uchaguzi wa 2920!!? Wewe ni mwandishi wa habari, you should know better. Circumstantial evidence zinaonyesha hivyo na No. 2 wa Lowassa alishaeleza hiyo.