Gawio linategemea pia thamani ya hisa zenyewe. Hiza moja ya NMB ina thamani zaidi ya hisa ya CRDB ....... hata leo ukiamua kuziuza hizo hisa, utapata pesa nyingi kutoka NMB.Mimi ninayo hisa 3500 katika CRDB na hisa 3500 ktika NMB. Leo nimepata taarifa kwenye simu ya ngu kuwa nimepata Tshs. 565,000 kama Gawio toka NMB lakini hisa hizo hizo kutoka CRDB nitapata Tshs.35,000. Naomba sana mnielekeze utaratibu wa kuuza hisa zangu za CRDB kwa sababu naona kama CRDB hawana nia na Wanahisa wao.
CRDB inatakiwe ifumuliwe na kuundwa upya. Kuna madudu mengi sana katika CRDB Financial Potfolio.
Ukimnukuu na kumjibu mtu jaribu kusoma kwanza alichoandika ili uelewe unajibu nini!Wala sio madudu,thamani ya hisa inafanya upate gawio kubwa au dogo. Hisa za NMB ziko juu zaidi ya CRDB.
Ukimnukuu na kumjibu mtu jaribu kusoma kwanza alichoandika ili uelewe unajibu nini!
Mimi nimeongelea CRDB as whole na sio Hisa za CRDB. Na ndio maana nikapendekeza ifumuliwe na kuundwa upya. Baadhi ya wateja wa hii Benki watanielewa naongelea nini!
Nitakupuuza kwa sababu unaonekana unachangia ki ashki majnuni na sio kwa hoja.Ifumuliwe halafu? Wenye hisa ndii wenye maamuzi,kama wanaona benki yao haifanyi vizuri CEO atatimuliwa,kama inafanga vizuri usitegemee jambo kama hilo kutokea. Hawaendeshwi kwa mihemko.
Huyu jamaa nina wasiwasi kama ana hizo hisa kweli, maana mtu huwezi kutegemea return sawa kwenye uwekezaji wa viwango tofauti, hisa za NMB zilikuwa zikuzwa 4000 kipindi flani wakati hisa za CRDB zilikuwa zikiuzwa 400, obviously kwa idadi sawa ya hisa , uwekezaji wa NMB ndio utakuwa mkubwa zaidi ya wa CRDB na hivyo hata gawio la NMB litakuwa kubwa pia, huyu jamaa hajui hilo??Gawio linategemea pia thamani ya hisa zenyewe. Hiza moja ya NMB ina thamani zaidi ya hisa ya CRDB ....... hata leo ukiamua kuziuza hizo hisa, utapata pesa nyingi kutoka NMB.
Nitakupuuza kwa sababu unaonekana unachangia ki ashki majnuni na sio kwa hoja.
Endelea na unavyoamini. Muda ukifika ndio utajua. Mimi naongea Kama mwana Hisa wa CRDB na mdau/mjumbe wa DSE.
Hisa za NMB uliwekeza shilingi ngapi na hisa za CRDB uliwekeza shilingi ngapi kabala ya kuanza kuweka mlinganisho wa gawio?Mimi ninayo hisa 3500 katika CRDB na hisa 3500 ktika NMB. Leo nimepata taarifa kwenye simu ya ngu kuwa nimepata Tshs. 565,000 kama Gawio toka NMB lakini hisa hizo hizo kutoka CRDB nitapata Tshs.35,000. Naomba sana mnielekeze utaratibu wa kuuza hisa zangu za CRDB kwa sababu naona kama CRDB hawana nia na Wanahisa wao.
Sio kila mtu ana elimu katika masuala ya Hisa mkuu.Huyu jamaa nina wasiwasi kama ana hizo hisa kweli, maana mtu huwezi kutegemea return sawa kwenye uwekezaji wa viwango tofauti, hisa za NMB zilikuwa zikuzwa 4000 kipindi flani wakati hisa za CRDB zilikuwa zikiuzwa 400, obviously kwa idadi sawa ya hisa , uwekezaji wa NMB ndio utakuwa mkubwa zaidi ya wa CRDB na hivyo hata gawio la NMB litakuwa kubwa pia, huyu jamaa hajui hilo??
Unajuaje kama sijapeleka!!??? Umepiga ramli!?Kama ni mwanahisa wa CRDB kwanini usipeleke hoja yako kwenye kikao cha wanahisa?
hamna cha CCM wala upinzani mkuu,huyo jamaa hajui mambo ya hisa na gawio yanavyofanya kaziACHA UPPUUZI HUJUI NMB NI YA MACCM NA CRDB NI YANAMAGEUZI. KAMA WEWE NI UPINZANI FATA UPEPO BASI ONDOKA CRDB KWANI WAPAMBANAJI TUTABAKI HUKUHUKU
Unajuaje kama sijapeleka!!??? Umepiga ramli!?
Kati yangu na wewe ni nani anapaniki hapa!?Usipanic,tunaelekezana tu. Kama umepeleka hakikisha unaungwa mkono na wanahisa wenzako. Kama unaona utendaji wa benki sio mzuri,ni jukumu lenu wanahisa kuhakikisha uongozi wa benki unabadilishwa hiki benki hiweze kufanya vizuri.