Nalinganisha gawio langu la NMB na CRDB

Ugawaji wa gawiwo la Hisa kwa wanahisa kila kampuni inategemea na mahtaji yake kwa mwaka huo pia na kiasi ya asilimia walichojipangia kutoa kama hisa na nyingine kukirejesha kama mtaji tena yani pay out ratio na Retention ratio.

Hisa zinaweza kuuzwa bei moja zote ila kampun zinaweza kua tofaut hvyo dividends zikatofautiana sababu ya sera ya kampuni juu ya Hisa yaan dividends policy.

Thaman ya kampuni inaweza ama isiweza kua ndio thaman ya Hisa ama kuweza kujarbu kuweza kupretidct kiwango cha faida.

Unaweza kua na kiwango sawa cha hisa lakini gawiwo la faida kwa mwaka huo likawa tofauti kulingana na sera ya kampuni na hili hua linabadilika badilika ndio maana unaambiwa lazima ujiridhishe kwanza na Elimu yako kabla hujawekeza.
Ukiwa mvumilivu usishangae baada ya mwaka ama miaka kadhaa mambo yakabadilika gawiwo la NMB likashuka la CRDB likapanda hakuna fomula maalumu ila ni sera tu na mahtaji ya kampuni kimtaji mwaka huo kulingana na fursa za uwekezaji i.e investment opportunities
 
CRDB inatakiwe ifumuliwe na kuundwa upya. Kuna madudu mengi sana katika CRDB Financial Potfolio.
So sure una mawazo kama yangu.
Ni bank ya ujanja ujanja sana na Agent wa wezi nchini.
Wafanyakazi wake mpaka Top managements ni ujanja ujanja tuuu hakuna la maana.

Kwa utaratibu huu wa JPM wasipojipanga nawaona wakiangamia mfano mzuri tu ni mwaka jana kuwa na non performing Loans mabillion
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom