Ww una akili sana.Miafrika tunacho jua ni kujivunia uchawi.kama unataka kuangalia mmbo ya kale nenda olduvai achana na uchawi
Uchawi kivutio cha watalii?
Wenzetu wanasumbua vichwa kugundua vitu vinavyo tusaidia na kurahisisha maisha,
Si tunabaki kuabudu uchawi unao rudisha maendeleo.
Uchawi kivutio cha watalii?
Wenzetu wanasumbua vichwa kugundua vitu vinavyo tusaidia na kurahisisha maisha,
Si tunabaki kuabudu uchawi unao rudisha maendeleo.
Wakati Tanesco wanataka kupitisha waya pale kwenye makaburi,wali waomba ukoo wa wenye makaburi wahamishe.Unauhakika gani kuwa kushindwa kupitisha umeme juu ya kaburi la kiyeyeu ni nguvu za uchawi?!, mimi siamini kuwa ni uchawi, nihakikishie kuwa hakuna scientific description- inaonesha wewe na elimu yako yote unafikiria uchawi kwanza!!!!. Kwanini tusingewaita wanasayansi wakatuhakikishia kuwa wamekosa scientifuc description ndiyo tujiridhishe kuwa kaburi hili ama tukio hili halina maana?!. Ndiyo maana waafrika hatusongi mbele kwani kila tukio la ajabu la afrika kwetu ni ushenzi na backwardness. Nasubiri kanisa la kakobe livunjwe ili umeme upite. Mbona ulaya kunavitu visivyo elezeka lakini vimekuwa documented kama vile UFO, maajabu ya namba 13 kwenye mahoteli na majumba makubwa na bermuda triangle?! Sisi kwa nini tunakimbilia kuvunjwa?!
Wakati Tanesco wanataka kupitisha waya pale kwenye makaburi,wali waomba ukoo wa wenye makaburi wahamishe.
Ukoo ukasema utahamisha kwa kiasi kikubwa cha pesa.Tanesco wakaona isiwe tabu waka pindisha waya mchezo ukaisha.
Sisi na imani zetu tuna danganyana eti uchawi.
Kwani ufo ni uchawi? Kama kweli ipo ni watu wakutoka sayari nyingine.
13 kwenye hoteli nayo ni kudanganyana na imani potefu.Kuna watu wana Guest house ina namba 13 na hamna lolote linalo tokea.
Bemuda ni si uchawi ni hali ya nature pale pana mikondo ya maji yanakutana.
Tatizo letu mtu akifikiri akakosa jibu anatafuta njia rahisi ya kuto umiza ubongo na kusema nguvu za giza.
nimewai kufanya kazi na kampuni ya siemens ya german kuweka nguzo za umeme kati ya dar na kidatu kuna maeneo wale wazungu walisimamia mazoezi ya kuchinja kondoo na damu umwagwa kwenye maeneo korofi
Umeniacha feri, maeneo korofi kulikuwa na kaburi la kiyeyeu?!
Uchawi kivutio cha watalii?
Wenzetu wanasumbua vichwa kugundua vitu vinavyo tusaidia na kurahisisha maisha,
Si tunabaki kuabudu uchawi unao rudisha maendeleo.
Nimekuwa nikisoma taarifa mbalimbali juu ya maajabu yanayoonekana kwenye kaburi la Chifu Kiyeyeu pale Iringa. Nimepokea kwa masikitiko habari za kuwa kaburi hilo limehamishwa ili kupisha upanuzi wa barabara na kupitisha waya wa umeme. Nimesikitishwa kuona kiuwa nchi hii ina taasis nyingi zinazojihusisha na mambo ya kale lakini hakuna taasis hata moja iliyokemea kitendo cha kulihamisha kaburi hili. Binafsu kama mwana historia nilidhani taasis mbalio mbali kama makumbusho ya taifa, wizara ya utamaduni, ofisi ya utamaduni ya wilaya, ofisi ya mkuu wa mkoa na NGOs wangetia juhudi kuona kuwa kaburi hili linaorodheshwa katika moja ya maaajabu ya dunia na hata kuwa kivutio cha utalii. Kukubali kuliondoa kaburi hili kwa ajili ya mambo yaliyokuwa na mbadala ni ukosefu wa hekina na busara na kutokuwajibika kwa taasisi zetu ambazo kutwa kucha zinaogelea katika kodi za wananchi. Natoa wito kwa serikali kuacha vitendo vya uharibifu wa mambo muhimu yanapaswa kuwepo ili hata vizazi vijavyo viweze kuona.